Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ratiba ya ligi iheshimiwe kwa ustawi wa soka

Hatimaye ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu huu imetolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ushirikiano na bodi yake ya ligi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RATIBA MECHI ZIJAZO LIGI KUU SOKA VODACOM TANZANIA BARA.



Jumatano Februari 12,2014. JKT Ruvu v/s Ruvu Shooting --------------------- Jumamosi Februari 15,2014. Rhino Rangers v/s Mgambo JKT Ashanti United v/s Kagera Sugar Mtibwa Sugar v/s Tanzania Prisons JKT Oljoro v/s JKT Ruvu Mbeya City v/s Simba Ruvu Shooting v/s Coastal Union
MSIMAMO WA LIGI HADI SASA NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS 1 Azam FC 16 10 6 0 29 10 19 36 2 Yanga 16 10 5 1 34 12 22 35 3 Mbeya City 17 9 7 1 24 14 10 34 4 Simba SC 17 8 7 2 33 15 18 31 5 Coastal...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tazama hapa ratiba ya soka ya ligi kubwa barani Ulaya leo Jumamosi, Januari 2

maxresdefault

Na Rabi Hume, Modewjiblog Baada ya kusherekea mwaka mpya hapo jana, leo Jumamosi ligi ya Uingereza na Hispania zinatarajiwa kuendelea kwa michezo kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, blog yako bora ya habari Modewjiblog imekuandalia ratiba kamili ya michezo hiyo: UINGEREZA – PREMIER LEAGUE West Ham United – Liverpool 15:45 EAT Arsenal – Newcastle United 18:00 EAT Leicester City – AFC Bournemouth 18:00 EAT Manchester United – Swansea City 18:00 EAT Norwich – Southmpton 18:00...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Panga pangua ya ratiba Ligi Kuu ni aibu kwa TFF

>Tangu Ligi Kuu ya Tanzania Bara ianze Septemba mwaka jana, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)  limekuwa likiipangua ratiba yake kwa sababu mbalimbali.

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya

football-ground2

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.

TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE

Kagera Sugar – African Sports           16:00 EAT

Maji Maji – Azam                               16:00 EAT

Mwadui – Ndanda                              16:00 EAT

Prisons – Mtibwa...

 

5 years ago

Michuzi

BAADA YA LIGI KUU KUSIMAMA KWA SIKU 66, SASA TUKUTANE TENA KWA MKAPA,UHURU NA CHAMAZI...TULILIMISI SOKA LETU BHANA

Na Zainab Nyamka,Michuzi TV

ZIKIWA zimetimia Siku 66 toka kusimamishwa kwa Michezo mbalimbali ikiwemo soka sasa inatarajiwa kuanza mapema Mwezi Juni wadau wameendelea kujiuliza je Viwango vya wachezaji vitarejea kama awali.

Ikumbukwe kuwa Shughuli zote za kijamii ikiwemo mikusanyiko ilisimamishwa  na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kutokana na janga la Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.

Kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...

 

10 years ago

Mwananchi

Mapinduzi yatibua ratiba ligi

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limepangua ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara ili kuziwezesha timu nne kushiriki Kombe la Mapinduzi linalotarajiwa kuanza kesho kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani