RATIBA YA RAMADHAN LEICESTER UK
![](http://4.bp.blogspot.com/-sFviDfa80z8/U7B4Oq1gTaI/AAAAAAAFtjA/TTYzAK5zgNA/s72-c/1-0a059ffc08.jpg)
Assalaamu Alaykum,
Jumuia ya Kiislamu ya An Noor ya Leicester Uingereza inapenda kuwatakia
Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Allah akujaalieni nyote afya na nguvu za kutekeleza ibada nyingi zaidi ndani Ya Mwezi huu Adhimu. Pia awape Shufaa ndugu zetu wenye matatizo ya Kiafya na mengineyo. Amin
Jumuia ya An Noor inapenda pia kuwatangazia Waislamu wenzao waishio Leicester Na vitongoji vya karibu kuwa Programu ya Ramadhan InshaaAllah
Itaendelea kama kawaida...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lu7fZBLnWM0/VdzP08A2dNI/AAAAAAAHz_0/jiVDwEF4Sd4/s72-c/tume1.jpg)
10 years ago
BBCSwahili23 Aug
Chelsea 2-0 Leicester
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
Pearson: Leicester hawanifukuzi ng'o
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82884000/jpg/_82884907_mahrez3_getty.jpg)
Leicester City 2-0 Southampton
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Liverpool yaicharaza Leicester 3-1
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/3D5E/production/_87301751_gettsadfsd.jpg)
Everton 2-3 Leicester City
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-n1nN8iTnPBI/VB_os3x7rsI/AAAAAAAGk64/sJ0djIDaCdA/s72-c/UntitledX.png)
muhadhara wa kiislamu Leicester,UK
![](http://3.bp.blogspot.com/-n1nN8iTnPBI/VB_os3x7rsI/AAAAAAAGk64/sJ0djIDaCdA/s1600/UntitledX.png)
Siku: Jumamosi tarehe 27 Septemba 2014Wakati: Kuanzia saa kumi kamili jioni (4pm). Pahala: Msikiti wa An Noor Leicester, 170a Belgrave Gate, LE1 3XL.Muhadhir: Sheikh Nassor Haroub kutoka London.
Waislamu wote wa kike na wa kiume mnaombwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8SvAzIo_Xw0/VDEjT40FJlI/AAAAAAAGoBg/fzLU6PVQ0l4/s72-c/unnamed%2B(51).jpg)
EID KUBWA YA KIHISTORIA LEICESTER
![](http://2.bp.blogspot.com/-8SvAzIo_Xw0/VDEjT40FJlI/AAAAAAAGoBg/fzLU6PVQ0l4/s1600/unnamed%2B(51).jpg)
Wanajumuia wa An Noor Leicester pamoja na ndugu na marafiki kutoka ndani ya mji huo na mingine ya Uingereza kama vile London, Leeds na Coventry Jumamosi tarehe 4 Oktoba walijumuika kusherehea sikukuu ya Eid Ul Adh-ha katika Masjid An Noor, Belgrave Gate.Ilikuwa ni sherehe ya kihistoria, ambayo ilianza kwa Takbeer kisha Sala ya Eid, na kufuatiwa na Khutba iliyotolewa na Imamu Mkuu Sheikh Saleh Juma.Kabla ya waumini kukumbatiana na kupongezana, Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Jumuia ya An Noor...
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Vardy aiweka Leicester matatani