Ray Akanusha Kujichubua
Staa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi ‘Ray’ amekanusha madai kuwa anajichubua.
Ray ameiambia Bongo5 kuwa anasikitishwa na watu wanaodai kuwa anajichubua bila kujua kuwa mtu akiwa na maisha mazuri anaweza kubadilika.
“Kwanza sijichubui, tatizo unajua baadhi ya watanzania wengi, hawaelewi mimi sijichubui, ila maisha yamebadilika,” amesema.
“Unajua unapokuwa na maisha magumu ya kwanza, unaposhindwa kujikimu, kujinunulia nguo, yaani kufanya unachokitaka kwa muda unaoutaka, unakuwa mweusi kwa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies15 Feb
Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!
“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.
Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.
Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Wasanii nyimbo za Injili kujichubua, tujifunze nini?
HAKUNA jambo ambalo linanikera kama mtu anapobadili rangi ya ngozi yake, kwani hivi sasa imeshakuwa fasheni si tu kwa wanawake, bali hata kwa wanaume na mbaya zaidi, jinamizi hilo limehamia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDAhVfKyas2KwbWHRfrBaopZgI0kLrmzwcqSYeAeeyohcFXypJyWjMxNZIQq*5h3og8DUS5L2fHYDDd5Jj4YHGIo/image.aspx.jpg?width=650)
YEMI ALADE ASHUTUMIWA KUJICHUBUA KWA MKOGORO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcreM0c1gpUfwU*9fPZNSDp8jEe7K2VgKoF3-EGhGeUqn-mbVKjY6ZF*n2qfJYVD2zHLWAi9COROLFB4wrXpzx-d/chuhcu.jpg?width=650)
CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU
10 years ago
Mwananchi01 Mar
MOYO UNADUNDA: Wanaume waingilie kati suala la ukeketaji na kujichubua
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-atPiEOAXNdQ/VSj-PeSonnI/AAAAAAAArtU/1bgNdqB30IM/s72-c/mavoko-3.jpg)
Msanii wa bongo fleva RICH MAVOKO Ajibu TUHUMA za Kujichubua Mwili Mzima na Kuwe Mweupe
![](http://3.bp.blogspot.com/-atPiEOAXNdQ/VSj-PeSonnI/AAAAAAAArtU/1bgNdqB30IM/s640/mavoko-3.jpg)
Msanii wa bongo Fleva Rich Mavoko amekanusha tuhuma za kujichubua Baaada ya blog hii kuweka Picha zake Hapa zikionyesha Kuwa Mweupe tofauti na zamani...Rich Mavoko amefunguka na Kusema Haya:
“Lazima tuangalie wakati hizi picha zilipigwa, hio picha nikiwa na dred Locks ni yazamani sana na siku na simu bora wala application za kuedit picha kama sasa, Hii picha mpya nimepiga na Iphone” .Rich Mavoko ameongezea kuwa “Hata maisha yangu yamebadilika,so ni kung’aa tu kwa mtu na sio kujichubua,...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...