Ray C amuomba msamaha Zamaradi, awashauri Kajala na Wema wapatane
Muimbaji wa muziki nchini, Ray C amewataka wasanii kupendana na kuwa kitu kimoja baada ya kuandika ujumbe Instagram aliotumia pia kumuomba msamaha mtangazaji wa Clouds TV, Zamaradi Mketema. Huu ni ujumbe aliomwandikia Zamaradi Mketema na kuwataka Wema na Kajana wasameheane: “Love u zama n sorry for everything keep doing wat u do best @zamaradimketema n […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies13 Oct
Ray c afunguka makubwa kuhusu wema na kajala, pia amuomba msamaha Zamaradi Mketema
Ray Ameamua kufunguka na Kusema Haya:
“Kiukweli huwa naumia sana ninapoona mastaa tunatumia muda mwingi kulumbana na kugombana kwa mambo ya kipuuzi sana,mastaa wenzetu wa Nigeria wanatushinda kwa mambo mengi sana sababu wao wanashirikiana na kusapotiana katika mambo mengi sana na hata ukiskia wamepishana basi ujue ni kwa ajili ya biashara tu na si vinginevyo!nilichogundua Mimi ni kwamba kumekua na makundi mbalimbali mitandaoni yanayokuza mambo na kusapoti wasanii kulumbana Mara team simba...
10 years ago
Mtanzania19 Aug
P. Diddy amuomba msamaha kocha wa mtoto wake
LOS ANGELES, Marekani
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Sean Combs ‘Puff Daddy’, amemuomba msamaha kocha wa mtoto wake baada ya kugombana naye miezi miwili iliyopita.
Diddy aligombana na Sal Alosi baada ya kocha huyo kupishana maneno na mtoto wake wakiwa mazoezini, ambapo Diddy alichukua uamuzi wa kumpiga na kifaa kizito kocha huyo lakini baada ya kuomba radhi akaapa kutokwenda tena mazoezini kumwangalia mwanawe.
“Nilipishana maneno na kocha wa mwanangu, lakini kila kitu kipo sawa...
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
11 years ago
GPL
KISA MTOTO WA KAJALA, ZAMARADI YAMKUTA
10 years ago
Bongo Movies24 Mar
Vita ya Ray C na Zamaradi Yapamba Moto
Wale Mastaa waliodaiwa kuingia kwenye bifu zito, Zamaradi pamoja na Ray C, na baadae kupatana, huku chanzo cha bifu kikidaiwa kuwa ni mwanaume, bifu hilo limeibuka tena, huku chanzo kikidaiwa kuwa ni maneno ya kejeli ya mtangazaji zamaradi mketema kwa mwanamuziki Ray C.
Hivi karibuni Zamaradi aliposti picha ya mwanae kwenye mtandao wa Instagram akim wish Happy birthday, uku aki repost baadhi ya pongezi kutoka kwa baadhi ya mastaa na mashabiki mbali mbali wa mtangazaji huyo, kitendo ambacho...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
GPL
NUH AMUOMBA WEMA PENZI, SHILOLE AZIMIA!
10 years ago
GPL03 Jun