Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAY C LIVE; OFM YAMNASA AKICHUKUA DOZI

Na Musa Mateja
Kabang! Kwa mara ya kwanza, Kikosi Kazi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers, kimefanikisha zoezi la kumnasa laivu Mbongo-Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, akizama na kuchukua dozi ya dawa za kuondoa sumu ya madawa ya kulevya ‘unga’ mwilini, Amani lina tukio kamili. Staa Ray C almaarufu "Kiuno Bila Mfupa" akielekea kwenye gari lake mara baada ya kupata dozi yake ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

OFM YAMNASA!

Stori: Issa Mnally na Dustan Shekidele, Morogoro
OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers si mchezo! Safari hii imenasa tukio la mchumba wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Jose kuuza mwili. Za mwizi 40: Mchumba wa mtu baada ya kunaswa na OFM akijiuza licha ya kuaga kuwa anakwenda kwa bibi yake. Tukio hilo lilijiri eneo maarufu la Baa ya Kaumba iliyopo katikati ya mji kwenye Mtaa wa Makongoro, mwishoni mwa wiki...

 

10 years ago

GPL

OFM YAMNASA MGANGA WA MASTAA BONGO

Waandishi wetu
Laivu! Ile Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers imemfungia kazi na kumnasa sangoma anayedaiwa kuwafanyia mastaa mandigo akiwemo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ili wang’ae kwa kuwasafishia nyota aitwaye Khalid Tege. Sangoma anayedaiwa kuwafanyia mastaa mandigo akiwemo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ili wang’ae kwa kuwasafishia nyota aitwaye Khalid...

 

10 years ago

GPL

AIBU 200% OFM YAMNASA HAUSIGERI AKIJIUZA

Stori:  Issa Mnally Na Richard Bukos
Tumekwisha! Kikosi maalum cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers, kimemnasa msaidizi wa kazi za ndani (hausigeli) akifanya biashara haramu ya kuuza mwili kwa kisingizio cha mshahara kiduchu. Kushoto ni hausigeli akifanya biashara ya uchangudoa maeneo ya Sinza jijini Dar. Tukio hilo la aina yake liliingia kwenye kamera za OFM maeneo ya Sinza jijini Dar, mwishoni mwa wiki...

 

10 years ago

CloudsFM

RAY C AFUNGUKA HABARI ZILIZOENEA KUWA AKATISHA DOZI YA MADAWA YA KULEVYA

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’’Ray C’’amefunguka habari zilizoenea kuwa amekatisha dozi ya kuacha madawa ya kulevya ya Methadone anayoichukua katika hospitali ya Mwananyamala,jijini Dar.

 

11 years ago

GPL

OFM KAZINI; KAMANDA WA OFM AKIRIPOTI JINSI ALIVYOMNASA MZUNGU AKIWA NA DENTI

Mshuhudie Kamanda hatari wa OFM aliyepania kuibadilisha Tanzania, akiripoti tukio la aina yake ambapo mara hii amemnasa mzungu aliyekuwa na denti wa kidato cha tatu gesti, tena usiku wa manane! Ungana na Global TV Online kupata full stori!

 

11 years ago

GPL

LIVERPOOL YAMNASA EMRE CAN

KLABU ya Liverpool imemsajili kiungo wa Bayer Leverkusen, Emre Can (20) kwa ada ya pauni milioni 9.75. Mchezaji huyo anayechezea timu ya Taifa ya U-21 ya Ujerumani ni  wa pili kusajiliwa na klabu hiyo kwa wiki hii baada ya Rickie Lambert aliyesajiliwa Jumatatu kwa pauni milioni 4 akitokea Southampton.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yamnasa Mateo

Wakati Simba wakiwa na kigugumizi juu ya kumsajili mshambuliaji wa KMKM, Mateo Simon watani zao Yanga wameingilia kati na kumpa mchezaji huyo mkataba wa miaka miwili.

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!

“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.

Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.

Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani