Rayuu Afunguka Kuhusu Wanaume Wanne Waliomfanyia Mbaya Kisha Kumtosa Bila Kumuoa
NYOTA wa filamu Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amesema anajihisi kama mwanamke mwenye mkosi baada ya wanaume wanne alioshiriki nao mapenzi kuonesha nia ya kumuoa, lakini ghafla waliingia mitini na kupeperusha ndoto yake ya kuwa mke wa mtu. Akipiga stori na gazeti la uwazi, muigizaji huyo alisema umri wake unamruhusu kuolewa na anafanya kila njia ikiwa ni pamoja na kutii maelekezo yote ya mwanaume ili kumvutia aingie naye katika ndoa, lakini kinachomshangaza hubadilika ghafla na kumpotezea...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLRAYUU: WANAUME WANNE WAMEINGIA MITINI
9 years ago
Vijimambo9 years ago
GPLDK. CHENI AFUNGUKA KUMUOA LULU
10 years ago
GPLUNAPATA PESA KISHA UNAZITUMBUA BILA MALENGO, UTAFANIKIWAJE?
10 years ago
GPLODAMA AFUNGUKA KUCHANGIA WANAUME!
5 years ago
BBCSwahili20 Mar
Wanaume wanne walioshtakiwa kwa ubakaji na mauaji wanyongwa nchini India
5 years ago
BBCSwahili20 Mar
India: Wanaume wanne wanyongwa kwa kumbaka mwanamke ndani ya basi
9 years ago
Habarileo17 Aug
Wanariadha wanne waenda nchini China bila daktari
WANARIADHA wanne na kiongozi mmoja wa riadha wanaondoka nchini leo kwenda Beijing, China kushiriki mashindano ya dunia yatakayoanza Alhamisi.
10 years ago
MichuziRAIA WANNE (4) WA ETHIOPIA MBARONI KWA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikila watu wanne (4) raia wa Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila kuwa na kibali
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema watu hao wamekamatwa tarehe 26/01/2015 majira ya 15:55hrs katika eneo la Nala kwenye Mzani wa Magari (Weight Bridge) Kata ya Nala Tarafa ya Zuzu Manispaa ya Dodoma wakiwa kwenye basi la Prince Munaa lenye namba za usajili T....