Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raza apiga tafu ujenzi wa kituo cha afya Shelui

JB

Diwani wa Kata ya Shelui (CCM) Omary Kinota JB akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nselembwe wakati wa mkutano wa hadhara juu ya maendeleo ya Kata hiyo sambamba na hafla ya kukabidhi mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya, mifuko hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Golden Coach Mohammed Raza.

Na Hillary Shoo, IRAMBA.

TATIZO la kina mama wajawazito na watoto kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kutafuta huduma za afya katika Tarafa ya Shelui Wilayani Iramba,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Bugadea yasaka fedha ujenzi kituo cha afya

WAKAZI wa Kata ya Buganguzi katika Wilaya ya Muleba, wameamua kuchangishana fedha kwa ajili ya kujenga kituo cha afya  kitakachogharimu zaidi ya sh milioni 500. Uamuzi huo umefikiwa na wakazi...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA TPB YASAIDIA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MTII

BENKI  ya TPB imesaidia umaliziaji wa ujenzi wa kituo cha afya Mtii, kilichopo Kata ya Mtii, Wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro. Kituo hicho cha afya kinajengwa na jamii ya wanakijiji wa Mtii chenye vijiji vitatu na vitongoji kumi.

Akikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho, Mkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Senyamule, ameipongeza benki ya TPB kwa msaada mkubwa ilioutoa kwa ajili ya kumalizia eneo la OPD la kituo hicho ili kianze kutoa huduma kwa jamii. “Natoa shukrani zangu zadhati kwa benki...

 

5 years ago

Michuzi

UMWAKIKA BADO WANAHITAJI NGUVU UJENZI KITUO CHA AFYA.

Na Abdullatif  Yunus Michuzi Tv.

Taasisi ya Umoja wa Maendeleo ya Wanawake wa Kiislamu Kagera (UMWAKIKA) yenye Makao makuu Manispaa ya Bukoba wametumia Siku ya Mama Duniani kuhamasisha Jamii kwa ujumla kuendelea kujitokeza kuchangia michango ya hali na Mali katika Ujenzi wa Kituo cha Afya kinachoendelea kujengwa Katika Kata ya Nyanga, Manispaa ya Bukoba.

Wazo la Ujenzi wa Kituo hicho lilianzishwa na akina mama hao mnamo mwaka 2012,  lengo likiwa ni kuendelea kurahisisha huduma za afya hasa Kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

BENKI YA NMB YASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA AFYA TUNDUMA


Benki ya NMB  imekabidhi vifaa vyenye thamani ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Makambini Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe kusaidia kukabiliana na janga la ugonjwa hatari wa COVID-19.

Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo kwa niaba ya Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Meneja wa NMB Tawi la Mbalizi Road - Hamadan Silliah amesema msaada wa vifaa hivyo ni moja kati ya mpango wa NMB ya kutenga sehemu ya faida yake katika kusaidia...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya NMB yasaidia vifaa vya ujenzi kituo cha Afya Tunduma

Benki ya NMB  imekabidhi vifaa vyenye thamani ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Makambini Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe kusaidia kukabiliana na janga la ugonjwa hatari wa COVID-19.
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo kwa niaba ya Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Meneja wa NMB Tawi la Mbalizi Road - Hamadan Silliah amesema msaada wa vifaa hivyo ni moja kati ya mpango wa NMB ya kutenga sehemu ya faida yake katika kusaidia...

 

5 years ago

Michuzi

Nyasa kuanza ujenzi wa Kituo cha afya Kata ya Kingerikiti kutatua kero ya wananchi

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, inatarajia kuanza ujenzi wa Kituo cha afya katika Kata ya Kingerikiti, tarafa ya Mpepo, na kutatua kero ya wananchi wa kata hiyo waliokuwa wakisafiri umbali wa takriban Kilometa 40 kufuata huduma za matibabu katika Wilaya ya Mbinga.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa Bw. Jimson Mhagama, wakati akiongea na wananchi wa Kata ya Kingerikiti kwa lengo la kutambulisha mradi na kuwashirikisha Wananchi ili waweze kushirikiana na Serikali kwa...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA UJENZI ELIAS KWANDIKA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA KITUO CHA AFYA MBIKA USHETU


Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Elias Kwandikwa ambaye ni Naibu Waziri wa Ujenzi akiwa ndani ya gari la Wagonjwa ‘Ambulance’ iliyotolewa na Serikali kwa ajili ya kituo cha afya cha Mbika kata ya Ushetu. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Elias Kwandikwa ambaye ni Naibu Waziri wa Ujenzi amekabidhi gari la Wagonjwa ‘Ambulance’lililotolewa na Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa ufadhili wa Global Fund - RSSH kwa ajili ya kituo cha afya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19

home gymKituo cha Mazoezi cha Home Gym…

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa  kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea  wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.

Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA ASHTUSHWA NA MAKUSUDI YA WIZARA YA AFYA KUHUSIANA NA KITUO CHA AFYA CHA INYONGA,WILAYA YA MLELE-KATAVI

 Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Inyonga, Dk. Adis Koni akimpatia maelezo Kinana na viongozi wengine wa chama na serikali kuhusu kucheleweshwa kwa makusudi kituo hicho kukipa hadhi ya kuwa hospitali ya wilaya,ambapo imeelezwa kuwa ucheleweshwaji huo unafanywa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,kwani maombi walikwishayatuma Wizarani tangu februari mwaka jana. Kinana akioneshwa baadhi ya vifaa tiba vya kisasa vilivyotolewa msaada na Mbunge wa Jimbo la Katavi, Waziri Mkuu, Mizengo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani