RC KILIMANJARO,AMOSI MAKALA AKUTANA NA MAOFISA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI KUZINGUMZIA JUU YA HOFU YA KIPINDUPINDU.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akiwa katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi,kuzingumza na watendaji wa Afya na Mazingira. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akifurahia jambo mara baada ya kukutana na watendaji wa Halmashauri kuzungumzia juu ya hofu ya Ugonjwa hatari wa Kipindupindu.kushoto kwake ni kaimu mkurugenzi wa Manispaa hiyo Jeshi Lupembe. Wakati zoezi la kurekebisha barabara katika eneo la dampo likiendelea,mmoja wa wananchi kkatika eneo hilo alikuwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziRC KILIMANJARO,AMOSI MAKALA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KUZUNGUMZIA TISHIO LA UGONJWA WA KIPINDUPINDU.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala akizungumza nawanahabari pamoja na Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro juu ya tishio la ugonjwa hatari wa Kipindupindu.Baadhi ya Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro pamoja na waandishi wa habari wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Amos Makala ,(hayupo pichani).
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
MichuziAZANIA BANK TAWI LA MOSHI YAKABIDHI VIFAA YA KUFANYIA USAFI KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi ,Hajira Mmambe akikabidhi vifaa vya kufanya usafi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ,Jeshi Lupembe ,vifaa hivyo vimetolewa kwa ajili ya kutekeleza agizo la rais Magufuli la kufanyika wa usafi siku ya Desemba 9.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Jeshi Lupembe akiwa ameongozana na Afisa afya mkuu wa manispaa hiyo,Mgeta Sebastian wakati wa kupokea msaada a vifaa vya...
9 years ago
MichuziMAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
10 years ago
MichuziWANANCHI MANISPAA YA MOSHI WAALIKWA KUTOA MAONI JUU YA OMBI LA MUWSA KUBADILI BEI YA KUTOA HUDUMA YA MAJI.
Na Dixon Busagaga.Moshi.
MAMLAKA ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA) inakusudia kuongeza bei ya kutoa huduma za maji kwa watumiaji wake ,lengo likiwa ni kutaka kuendelea kufanya maboresho katika utolewaji wa huduma hiyo.
Kwa mujibu wa ombi Na,TR-W-15-008 kutoka Muwsa kwenda Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji(EWURA) Mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi imetaka kuongeza beo ya huduma zake kwa mwaka 2015/2016 HADI 2017/2018.
Mabadiliko ya bei hiyo...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAJI AMOSI MAKALA ATEMBELEA ENEO LA MRADI MKUBWA WA MAJI WA MWANGA/KOROGWE.
PICHA ZAIDI...
9 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, AMOSI MAKALLA APITA OFISI ZA MICHUZI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
MichuziMSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA MOSHI ,JAFARY MICHAEL ATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA MSINGI PASUA MJINI MOSHI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
5 years ago
CCM BlogCAG AWAWEKA MATATANI MAOFISA HALMASHAURI
Sagini alisema katika hoja hizo, wapo watumishi wa halmashuari hiyo ambao walishindwa kutekeleza wajibu wao ipasavyo, ambao ametaka watafutwe na wachukuliwe hatua kila mmoja kulingana na hoja yake.
Alitoa maagizo hayo jana wakati wa kikao...
9 years ago
StarTV21 Nov
Polisi Mwanza yazuia mikusanyiko ya maandamano ya CHADEMA kuhofia Hofu Wa Kipindupindu
Polisi mkoa wa Mwanza imezuia mikusanyiko ya watu na maandamano kwa kuhofia kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu ambao unatajwa kuzagaa mkoani humo.
Hatua hiyo inatokana na kuwepo kwa taarifa za shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Geita katika viwanja vya Furahisha.
Kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia za jeshi la polisi, mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa kesho katika...