Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Reality Tv show ya Idris Sultan kuanza kuoneshwa December BET, aeleza sababu za kuchagua kituo hicho cha Marekani

Kama mipango ya mshindi wa Big brother Africa 2014, Idris Sultan ikienda vizuri basi dunia itashuhudia show mbili mpya za Tv za star huyo wa Tanzania kupitia channel ya Marekani- BET Idris amesema moja ya show hizo ni reality show kama ilivyo ya kina Kim Kardahsian, KUWTK na Husbands Of Hollywood, na nyingine ni ya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Idris Sultan kuja na TV show mbili, zitakazooneshwa kupitia Vuzu na BET

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, Hotshots Idris Sultan, amesema anakuja na vipindi viwili vya TV vitakavyorushwa kupitia vituo vya runinga vya Vuzu, Afrika Kusini na BET Africa. Idris amesema kuonekana kwake kwenye mitandao wa kijamii isidhaniwe kuwa amekosa kazi za kufanya. “Ukiwa mtu maarufu watu wanahitaji kukuona muda wote na huwezi kupata […]

 

9 years ago

Bongo5

Instagram waifungia akaunti ya Idris Sultan, aeleza kilichosababisha

Instagram imeifungia akaunti ya mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan. Idris ameimbia Bongo5 kuwa hatua hiyo imekuja baada ya kuvunja masharti ya mtandao huo. Amesema anadhani sababu za kufungikiwa kwa akaunti yake ni kutokana na kupost kipande cha video kutoka kwenye filamu ya The Interview iliyowahi kupigwa marafuku katika baadhi ya nchi. “Nafikiria labda kutokana […]

 

10 years ago

GPL

YEMI AELEZA SABABU YA KUWASHAMBULIA WAANDAJI WA TUZO ZA BET

Mwimbaji maarufu wa Nigeria, Yemi Alade. Lagos Nigeria BAADA ya mwimbaji maarufu wa Nigeria, Yemi Alade, maarufu kama  Jonny Crooner kutokana na wimbo wake, kushindwa katika mpambano wa Tuzo za BET nchini Marekani, amewashambulia waandaji wa mashindano hayo kwamba hawakuwafanyia haki waimbaji kutoka Afrika. “Kusema ukweli Waafrika hatutendewi haki kama wenzetu kutoka mabara mengine,” alisema mwimbaji huyo mrembo...

 

10 years ago

Bongo5

Eddy Kenzo aeleza sababu za kwanini BET walimkabidhi tuzo yake kwenye Red Carpert

Msanii wa Uganda aliyeshinda tuzo ya 2015 BET Viewer’s Choice Best International Artist, Eddy Kenzo ametoa maelezo ya kwanini alikabidhiwa tuzo yake kwenye Red Carpet. Licha ya kuwa wasanii wa Afrika na UK wamekuwa wakibaguliwa kwenye tuzo hizo kwa kupewa tuzo zao muda tofauti kabla ya tukio lenyewe, lakini mambo yalikuwa tofauti zaidi kwa msanii […]

 

9 years ago

Michuzi

Mbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abaas Mwinyi Atimiza Ahadi Zake kwa Kituo cha Afya Fuoni kwa Kukabidhi Dawa na Masinki ya Vyoo kwa Kituo Hicho.

Daktari Dhamana wa Kituo cha Afya Fuoni Said Fadhili Abass akizungumza wakati wa mkutano huo na Mbunge wa Jimbo la fuoni na kumshukuru kwa msaada wake huo kwa Kituo chao. na kusema dawa hizo zitatumika kwa wananchi wa Jimbo hilo wanaofika kituoni hapa kupata huduma mbalimbali za Afya.  Wauguzi wa Kituo cha Afya Fuoni wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Fuoni Mhe Abass Mwinyi wakati akizungumza na Wafanyakazi hao katika ziara yake kutembelea Kituo hicho na kukabidhi madawa kwa ajili ya Wananchi...

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Sababu 4 zilizofanya kifo cha M'marekani mweusi kusababisha maandamano makubwa Marekani

Wakati Donald Trump alipotoa onyo lake , pengine hakufikiria kwamba atalazimika kuishi na hali ngumu kama inayoendeelea nchini Marekani.

 

5 years ago

Michuzi

M-Bet kuzindua Stimulated Reality League (SRL)

·      M-bet kuongoza ubunifu Tanzania na kuzindua SRL·      Uhalisia wa michezo kutoka M-Bet unakujia kupitia SRL·      Mechi za soka zinaendelea! Mashabiki wanaweza kumaliza msimu wa ligi kubwa za barani duniani.
M-Bet imezindua michezo ya kubashiri inayojulikana kama Simulated Reality League (SRL) , Kupitia kampuni ya SportRadar inayotoa huduma za teknolojia ya odds mbalimbali za michezo ya kubashiri, ikiwa inafanya kazi na makampuni zaidi ya 500 duniani kote.
M-bet imezindua SRL ikiwa ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani