RECONDITIONED TOYOTA HIACE FOR SALE
![](http://2.bp.blogspot.com/-1PPovbXB1dE/UwSbX-oQIwI/AAAAAAAFN-s/MV4N-NltoqY/s72-c/unnamed+(76).jpg)
GARI AINA YA TOYOTA HIACE, YEAR OF MAKE 1998, 3L DIESEL ENGINE, 70,000 KM,STICK SHIFT (MANUAL) INAUZWA KWA TSHS 24,500,000.
HAIJAWAHI KUPATA AJALI NA INATEMBEA VIZURI NA KATIKA HALI BORA KABISA YA KUFIKA KOKOTE TANZANIA. HAIHITAJI MAREKEBISHO YOYOTE.
![](http://2.bp.blogspot.com/-vVyEu_3KFxY/UwSbY7C7UoI/AAAAAAAFN-0/LDpR54Ls8gI/s1600/unnamed+(75).jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3c-44TJcb55Kzyl5G9ObqSXIlW6zT2hIhd4xlEsfcA9Y-FQr*F779x1Qe4odtEEZcnG93dIZNdNCt1iIJEbHTTK/2toyotaavensis.jpg)
TOYOTA AVENSIS FOR SALE
11 years ago
MichuziTOYOTA RAV4 FOR SALE
CALL: 0786 687438 0784 351686
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vcB-R4TFh6qy0Cz*PEfOcpRcNE6PpWzkRQ*8UlpAkn4ESXsXA-V*m7DnFQMtb4QWiRFxRjVoftHKKJ2uXyPbkbRicD5NIPDA/2toyotaavensisin.jpg)
TOYOTA AVENSIS FOR SALE!!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-0lDmoJcRb9X9fbUY8V31GZ0Hc6ZHkTtZ-pSrc-cCJx6gPklyN-4bRX3P7zpRM5GWLTHJPU7Gd12ewWhYOJqOYH/BIGSALEADVERT22.jpg?width=750)
BIG SALE! SALE! - PUNGUZO KUBWA LA BEI! - SACHQUES CLOTHING STORE
10 years ago
Vijimambo30 Oct
Hiace yaua watu 12 Arusha
Watu 12 wamekufa papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Toyota Hiace (pichani) maarufu kama kipanya walikokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mafuta.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo jana majira ya saa 10 katika eneo Makumira wilayani Arumeru.
Sabas, alisema ajali hiyo ilitokea baada ya kipanya hicho aina ya Nissan T519 DBV kilichokuwa kikitokea jijini Arusha kwenda Usa River kuhama...
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Hiace yaua saba na kujeruhi
11 years ago
Habarileo31 Mar
Watu 20 wafa ajali ya Hiace
WATU 21 wamekufa na 10 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria aina ya Hiace na lori. Ajali hiyo ilitokea juzi katika kijiji cha Mkupuka kata ya Kibiti wilayani Rufiji mkoani Pwani.
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Hiace yaua mwalimu Kigoma
MWALIMU mmoja mkazi wa Mlole Manisapaa ya Kigoma Ujiji amefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Hiace yenye namba CMS 688 inayofanya safari zake Kigoma mjini kwenda Kijiji...
10 years ago
Habarileo18 Jul
Fuso labamiza Hiace na kuua wanne
WATU wanne wamekufa papo hapo na wengine 11 kujeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria lenye namba za usajili T196 AAW aina ya Toyota Hiace, kugongwa kwa nyuma na gari lenye namba za usajili T 430 AQQ aina ya Mitsubishi Fuso.