Hiace yaua saba na kujeruhi
Watu saba wamefariki dunia na wengine 10 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyata Hiace lililokuwa likitokea Kigoma Mjini kuelekea Kijiji cha Subankala wilayani Uvinza kuteketea kwa moto katika Kijiji cha Mwakizega.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
AJALI YA BASI YAUA SABA, NA KUJERUHI TABORA
11 years ago
Vijimambo30 Oct
Hiace yaua watu 12 Arusha
Watu 12 wamekufa papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Toyota Hiace (pichani) maarufu kama kipanya walikokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mafuta.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo jana majira ya saa 10 katika eneo Makumira wilayani Arumeru.
Sabas, alisema ajali hiyo ilitokea baada ya kipanya hicho aina ya Nissan T519 DBV kilichokuwa kikitokea jijini Arusha kwenda Usa River kuhama...
11 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Hiace yaua mwalimu Kigoma
MWALIMU mmoja mkazi wa Mlole Manisapaa ya Kigoma Ujiji amefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Hiace yenye namba CMS 688 inayofanya safari zake Kigoma mjini kwenda Kijiji...
10 years ago
GPL
AJALI YA FUSO NA HIACE YAUA 11 KILIMANJARO
11 years ago
Habarileo26 Jul
Ajali yaua 3, kujeruhi 46
WATU watatu wamekufa na wengine 46 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Uchunga wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.
11 years ago
GPL
AJALI YAUA 16 NA KUJERUHI 75 TABORA
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Ajali ya basi yaua 12 na kujeruhi 22 Iringa
Taswira kutoka eneo la ajali.
Takribani watu 12 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine 22 wakijeruhiwa baada ya basi la New Force kupata ajali leo eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.
Basi hilo lilikuwa likitokea mkoani Mbeya kuelekea Dar es Salaam na limepata ajali mchana huu.
Jitihada za kuondoa miili na kusafirisha majeruhi kuwapeleka hospitali zinaendelea.
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Ajali yaua wawili, kujeruhi 15 Lushoto
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Coaster yaua watu 11 na kujeruhi 25 Muheza