Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YA FUSO NA HIACE YAUA 11 KILIMANJARO

Wananchi wakishuhudia ajali hiyo. WATU wanne wamefariki dunia na wengine 11 wakijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Wilaya ya Hai, Kilimanjaro ikihusisha gari aina ya Hiace iliyokuwa ikifanya safari zake kati ya Sanya Juu na Moshi baada ya kugongana na Fuso. Hiace likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali. Kamishna Msaidizi wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Fulgence Ngonyani, amesema ajali hiyo imetokea saa moja asubuhi,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AJALI YA BASI LA SIMBA MTOTO NA FUSO YAUA MMOJA

Fuso likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Simba Mtoto. Basi la Simba Mtoto baada ya ajali.…

 

10 years ago

Habarileo

Fuso labamiza Hiace na kuua wanne

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Fulgence NgonyaniWATU wanne wamekufa papo hapo na wengine 11 kujeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria lenye namba za usajili T196 AAW aina ya Toyota Hiace, kugongwa kwa nyuma na gari lenye namba za usajili T 430 AQQ aina ya Mitsubishi Fuso.

 

11 years ago

Michuzi

AJALI YA MAPOROMOKO KILIMANJARO YAUA MMOJA

Leo majira ya saa kumi alfajiri kumetokea ajali ya maporomoko ya mawe katika eneo la juu la Mlima Kilimanjaro la Hans Meyer na kusababisha kifo kwa mwanafunzi Malata Thomas kutoka Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli .Aidha, mwanafunzi mwingine Matenga S.J alivunjika mguu wake na anaendelea na matibabu katika hospitali ya KCMC mjini Moshi. Wanajeshi hawa walikuwa pamoja na wenzao 265 walikuwa katika mafunzo yao ya kawaida ya ukakamavu katika Mlima Kilimanjaro.
Shirika la Hifadhi za Taifa...

 

10 years ago

Vijimambo

WATU WANNE WAFARIKI DUNIA BAADA YA HIACE KUGONGANA NA FUSO KATIKA DARAJA LA MTO KIKAVI WILAYANI HAI

 Watu wanne wamefariki dunia na wengine kumi na mmoja kujeruhiwa,watatu kati yao hali zao ni mbaya na kulazimika kukimbizwa katika hospitali ya KCMC kufuatia ajali iliyohusisha magari ya FUSO na HIACE katika daraja la Mto Kikavu wilayani Hai mkoani Kilimanjaro. Fuso likiwa limeharibika vibaya kuytoka na ajali hiyo
Magari yakiwa kwenye foleni baada ya kutokea kwa ajali hiyo

 

9 years ago

Mwananchi

Hiace yaua saba na kujeruhi

Watu saba wamefariki dunia na wengine 10 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyata Hiace lililokuwa likitokea Kigoma Mjini kuelekea Kijiji cha Subankala wilayani Uvinza kuteketea kwa moto katika Kijiji cha Mwakizega.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hiace yaua mwalimu Kigoma

MWALIMU mmoja mkazi wa Mlole Manisapaa ya Kigoma Ujiji amefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Hiace yenye namba CMS 688 inayofanya safari zake Kigoma mjini kwenda Kijiji...

 

10 years ago

Vijimambo

Hiace yaua watu 12 Arusha


Watu 12 wamekufa papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Toyota Hiace (pichani) maarufu kama kipanya walikokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mafuta.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo jana majira ya saa 10 katika eneo Makumira wilayani Arumeru.

Sabas, alisema ajali hiyo ilitokea baada ya kipanya hicho aina ya Nissan T519 DBV kilichokuwa kikitokea jijini Arusha kwenda Usa River kuhama...

 

11 years ago

Habarileo

Watu 20 wafa ajali ya Hiace

WATU 21 wamekufa na 10 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria aina ya Hiace na lori. Ajali hiyo ilitokea juzi katika kijiji cha Mkupuka kata ya Kibiti wilayani Rufiji mkoani Pwani.

 

10 years ago

Vijimambo

WATU 19 WAMEFARIKI KATIKA AJALI YA HIACE KIWIRA MBEYA

 Kwa habari zilizotufikia hivi punde kutoka Mkoani Mbeya zinasema kuwa Watu 19 wamefariki dunia baada ya Hiace waliokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka maeneo ya Kiwira wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi.


 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani