Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Redondo: Simba, Yanga zinaua soka la Tanzania

Kiungo wa zamani wa Simba , Ramadhani chombo 'Redondo' 
Kiungo wa zamani wa Simba, Ramadhani Chombo ‘Redondo’ anadai kuwa, viongozi wa klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Bara wanalichimbia kaburi na kulizika soka taratibu.KUNA mambo kwa Tanzania yamesalia kuwa ndoto, mfano kwa timu ya Taifa kushiriki ama kutwaa Kombe la Dunia. Hili haliwezekani kwa miaka ya hivi karibuni kutokana na mfumo wa soka letu.Kiungo wa zamani wa Simba, Ramadhani Chombo ‘Redondo’ anadai kuwa, viongozi wa klabu zinazoshiriki...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Imani potofu zinaua soka’

>Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe amesema wachezaji wengi wa Tanzania wanaamini sana imani za kishirikina kitu ambacho hakina faida kwao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mateso ya Yanga, Simba SC Ligi Kuu ndio uhai wa soka

KIVUMBI cha Ligi Kuu Tanzania Bara, kitaanza Septemba 20, kwa miamba 14 kuanza vita ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo huku timu kongwe za Simba na Yanga zikiwa na kazi...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri, awagawa, viongozi, Simba, soka, tff, misimbazi, Tanzania

Kuanza vibaya kwa Simba katika Ligi Kuu Bara msimu huu na hatima ya kocha mkuu wa timu hiyo, Patrick Phiri kumewagawa kimsimamo viongozi wa klabu hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

HUO USWAHIBA WA TFF NA YANGA UNAODUMAZA SOKA YA TANZANIA, YETU MACHO!


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), linamiliki Uwanja mmoja tu wa michezo, Karume uliopo kwenye ofisi zake eneo la Ilala, Dar e Salaam.Ni Uwanja mdogo na maalum kwa mazoezi tu, ambao pia haukidhi mahitaji ya kuitwa kituo cha mazoezi ya kisasa ya timu, lakini angalau upo.Uwanja wa Karume ni maalum kwa mazoezi ya timu za taifa zote, wanawake na wanaume kuanzia vijana hadi wakubwa.Uwanja huo pia hutumika kwa programu za mafunzo ya uwanjani ya marefa, makocha na kadhalika.Binafsi, nitaukumbuka...

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAJICHIMBIA KILELENI MWA LIGI KUU YA VODACOM YA SOKA TANZANIA BARA

Kikosi cha Mtibwa Sugar.Kikosi cha Yanga. Benchi la ufundi la Mtibwa Sugar. Kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed akiwapanga wachezaji wake.Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

Ushabiki wa Yanga, Simba unavyowateka wanawake Tanzania

Kunapochezwa mpambano wa Watani wa Jadi katika Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga huwezi kuwakosa wanawake maarufu wa klabu hizo wakishangilia iwe Uwanja wa Taifa au mahali pengine.

 

10 years ago

Vijimambo

AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0

 Timu ya Yanga imeendeleza uteja tena leo katika mchezo wa wahasimu hao uliochezwa uwanja wa taifa leo baada ya timu ya Simba kuibamiza Yanga goli 1 bila majibu goli lililofungwa na Emmanuel Okwi mchezaji aliyeikimbia timu hiyo yenye masikani yake Jangwani katika dakika ya 52. Wachezaji wa Simba na Yanga wakiwa katika mpambano.Mchezaji Simon Msuva akijaribu kufanya mashambulizi goli mwa Simba shuti lake halikuweza kuleta madhara yeyote mpaka dakika 90 Simba 1 na Yanga 0. Picha kwa hisani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani