Riadha Kenya yawakana wakimbiaji
CHAMA cha Riadha Kenya (AK), kimesema hakina taarifa za wanariadha wake kwenda Tanzania kushiriki mashindano mbalimbali mwaka huu. Desemba 4 mwaka huu yalifanyika mashindano ya Serengeti Marathon na Desemba 8...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Kiplagat anavyoendeleza riadha Kenya
Lornah Kiplagat ni mwanariadha mzaliwa wa Kenya mwenye uraia wa Uholanzi anayekimbia mbio ndefu. Kiplagat alizaliwa huko Kabiemit, Kenya mwaka 1974.
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Shirikisho la Riadha Kenya yalaumiwa
Shirikisho la mchezo wa riadha nchini Kenya yalaumiwa kutochukua hatua dhidi ya wanariadha watundu
9 years ago
BBCSwahili15 Nov
Afisa wa riadha Kenya anachunguzwa na IAAF
Naibu rais wa shirikisho la riadha la Kenya, AK David Okeyo, anatuhumiwa kwa 'kuiba pesa zilizolipwa na kampuni ya kutengeneza bidhaa za michezo Nike'.
10 years ago
BBCSwahili19 Nov
Kenya kuandaa Mashindano ya riadha 2017?
Kenya huenda ikatangazwa rasmi kuwa mwenyeji wa mashidano ya dunia ya riadha kwa vijana mwaka 2017.
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Kenya yafuta leseni za wakala wa riadha
AK imewapiga marufuku Federico Rosa wa Italia na Gerald Vandeveen wa Uholanzi kwa miezi sita wakishukiwa kuhusika na dawa za kuongeza nguvu
10 years ago
BBCSwahili04 Aug
Mchezo wa Riadha watiwa dosari Kenya
Ripoti zinadai Kenya ni miongoni mwa nchi ambazo wanaraidha wake hutumia dawa za kusisimua misuli katika michezo ya Olimpiki
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
Afisi za riadha Kenya zimefungwa siku ya pili
Wanariadha wanaendelea kuzingira makao makuu ya shirikisho la riadha la Kenya AK kwa siku ya pili mfululizo kufuatia madai ya kukithiri kwa ufisadi afisini humo.
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Maafisa wakuu wa riadha Kenya wapigwa marufuku
Kamati ya maadili ya shirikisho la riadha duniani IAAF limewapiga marufuku kwa muda viongozi watatu wa shirikisho la riadha la Kenya.
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Ikulu yawakana Pentekoste
SIKU chache baada ya Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kulalamikia mapendekezo ya Bunge Maalumu la Katiba, serikali imesema Baraza hilo halijawasilisha maombi ya kutaka uwakilishi katika bunge hilo....
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania