Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ridhiwani aibuka kidedea kura za maoni Chalinze

Ridhiwani KikweteMJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM katika Wilaya ya Bagamoyo, Ridhiwani Kikwete, ameibuka kidedea katika kura za maoni kuwania kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Chalinze.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mdau cosato david chumi aibuka kidedea kura za maoni

 Mdau mkubwa wa Globu ya Jamii Cosato David Chumi ambaye ni afisa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akielekea jukwaani kuwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea katika kura za maoni katika kugombea Ubunge jimbo jipya la Mafinga mjini mkoani Iringa kwenye hafla iliyofanyika katika uwanja wa Changarawe.  Jimbo hilo limemegwea kutoka iliyokuwa Mufindi Kaskazini na kata moja ya Bumilayinga toka Mufindi Kusini na kuwa Mafinga mjini Mdau mkubwa wa Globu ya Jamii...

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KURA ZA MAONI CHALINZE

Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura leo. ...akipanga mstari (katikati) katika uwakilishi wa Kata anayotoka ya Msoga. Matokeo:
Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,
Ilikuwa hivi:_
1.Ridhiwani…

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MATOKEO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA CHALINZE:,RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA

Ndugu Ridhiwani Kikwete ameshinda kwa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kuwa mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze kupitia CCM. Katika uchaguzi huo uliofanyika leo kijijini Msata.  Ridhiwani   Kikwete amepata kura kura 758 kati ya kura 1321 zilizopigwa huku mpinzani wake wa karibu mdau wa soka Shaaban Iman Madega akiwa na kura 335. Wapiga kura za maoni kumchagua mgombea wa kiti cha Ubunge cha Chalinze wakiwa tayari kupiga kura zao leo Msata, Chalinze




 

10 years ago

Michuzi

MBENA KIDEDEA KURA ZA MAONI JIMBO LA MOROGORO KUSINI

Na John Nditi, Morogoro
WABUNGE wanne wa zamani katika majimbo ya mkoa wa Morogoro wamefanikiwa kutetea nafasi zao kwenye uchaguzi wa kura za maoni zilizofanyika Augosti 1, mwaka huu nchini kote kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Walionusurika kwa kutetea nafasi zao ni Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki, Celina Kombani, Ulanga Magharibi , Dk Haji Mponda, Jimbo la Morogoro Mjini Abdulaziz Abood na Jimbo la Gairo , Ahmed Shabiby .
Wabunge walioanguka katika kura za maoni ni pamoja na...

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI AANZA MBIO ZA KUSAKA KURA JIMBO LA CHALINZE‏

Meneja wa Kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Steven Kazidi (kushoto) akimuinua mkono juu kwa ishara ya kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo (CCM), Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa mkutano wa kwanza wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Matipwili, Saadani Wilayani Bagamoyo jana Machi 14,2014.… ...

 

11 years ago

GPL

MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, RIDHIWANI AOMBA KURA KATA YA UBENA

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Visakazi, katika kata ya Ubena jana.
Wananchi wa kijiji cha Visakazi wakinyoosha mikono kuonyesha kumuuunga mkono Ridhiwani wakati wa mkutano…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani