Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ridhiwani akabidhi sekondari vitanda 267

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amekabidhi vitanda 267 katika shule za sekondari za bweni saba jimboni humo vyenye thamani ya sh milioni 53.4. Akizungumza wakati wa kukabidhi vitanda hivyo ambavyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sekondari Mwembetogwa yahitaji vitanda

SHULE ya Sekondari ya Mwembetogwa iliyoko Manispaa  ya Iringa inakabiliwa na upungufu wa vitanda 160 kwa wanafunzi wa kike wanaotakiwa kuishi katika mabweni yaliyokamilika katika shule hiyo. Akizungumza katika mahafali...

 

10 years ago

Michuzi

Janet Mbene akabidhi vitanda vaya kujifungulia vya thamani ya Milioni 30 ileje

 Mafundi wa Hospitala wakiunganisha kitanda cha kujifunguliwa kilicholetwa na Mh Janet Mben kwa ajili  ya hospitalai za ieleje. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Janet Mbene,akionyesha baadhi ya vifaa vinavyotumika katika hospital ambavyo avimetolewa na Karemjee Foundation kwa ajili ya Hospital ya Ileje. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akimkabidhi Vitanda vya Kujifungulia Katibu wa CCMwilaya ya Ileje kwa ajili ya Hospitali za wilaya hiyo. Mganga mkuu wa Wilaya ya ilje...

 

10 years ago

Vijimambo

RIDHIWANI KIKWETE AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA CHALINZE

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (katikati) akikabidhi gari jipya la kubebea wagonjwa (Ambulance), kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,Dk. Mastidia Rutaihwa kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Chalinze, katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Chalinze jioni hii. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa kituo hicho, Dk. Bamba Victor na Diwani wa Kata ya Bwilingu, Nasa Karama. Muumini wa Dini ya Kikiristo, Heema Said akitoa neno la shukrani kwa Mbunge wa Jimbo la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CGP Minja akabidhi basi Bwawani sekondari

JESHI la Magereza nchini limeikabidhi shule ya Sekondari Bwawani basi lenye thamani ya sh milioni 120 kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za gharama ya usafiri na juhudi ya kukuza...

 

11 years ago

Michuzi

Malinzi akabidhi kombe bingwa Michuano shule za Sekondari Dar

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa a(BMT) Dionizi Malinzi (wapili kulia)akikabidhi kombe kwa kapteni wa timu ya sekondari ya Mugabe Laurian Didas baada yakuibuka mabingwa katika michuano maalumu ya Community Sports Cup ambapo walishinda jumla ya bao 1-0 dhidi ya shule ya sekondari ya Kawe,( wa pili kutoka kushoto) ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Leonard Tadeo, Katibu Mkuu wa BMT Henri Lihaya (wakwanza kutoka kulia). Michuano hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

CHIKAWE AKABIDHI MIFUKO YA SARUJI 900 WILAYA YA NACHINGWEA KUJENGA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (wapili kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Pololet Mgema msaada wa mifuko 900 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Maabara za Shule za Sekondari wilayani humo. Tukio hilo la makabidhiano lilifanyika mjini Nachingwea leo Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Michinge Mchopa akionesha sehemu ya msaada wa mifuko ya sarufi 900 iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye...

 

10 years ago

Vijimambo

LINDI | MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI BATI 100 NA VYOMBO VYA BENDI SHULE YA SEKONDARI ANGAZA

Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Mwantumu Mahiza mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi tarehe 15.3.2015 kuanza ziara ya kikazi ya siku 5 kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Mwantumu Mahiza akisisitiza jambo wakati akiwahutubia mamia ya wana CCM na wananchi wa Lindi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Fenella Mukangara akabidhi vifaa vya Michezo kwa Shule za Sekondari jijini Dar leo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo mmoja wa wanafunzi waliowakilisha shule zao katika hafla hiyo leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni ya Vodacom Salum Mwalimu. Meneja Uhusiano wa Vodacom Salum Mwalimu(kushoto) akimkabidhi hundi ya mfano yenye thamani ya shilingi Milioni moja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani