Sekondari Mwembetogwa yahitaji vitanda
SHULE ya Sekondari ya Mwembetogwa iliyoko Manispaa ya Iringa inakabiliwa na upungufu wa vitanda 160 kwa wanafunzi wa kike wanaotakiwa kuishi katika mabweni yaliyokamilika katika shule hiyo. Akizungumza katika mahafali...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi28 Jul
SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA YA IRINGA YATIMUA WALIMU 'MAFATAKI'
Mwembetogwa, Kevin Mlengule
SHULE ya Sekondari ya Mwembetogwa ya Mjini Iringa imepongezwa na wadau wake baada ya hivikaribuni kuwafukuza kazi walimu wanne wa kiume waliobainika kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wao wa kike maarufu kama mafataki
“Tunataka shule nyingine ziige mfano wa shule hii, tumefarijika kusikia imechukua uamuzi huo na kwa kufanya hivyo tunaamini shule hiyo itakuwa salama kwa watoto wetu wa kike,” alisema mmoja wa wazazi wenye watoto...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Ridhiwani akabidhi sekondari vitanda 267
MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amekabidhi vitanda 267 katika shule za sekondari za bweni saba jimboni humo vyenye thamani ya sh milioni 53.4. Akizungumza wakati wa kukabidhi vitanda hivyo ambavyo...
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Nishati yahitaji wawekezaji wakubwa
10 years ago
BBCSwahili02 Nov
Mazingira yahitaji hatua haraka
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
ITA yahitaji bil. 67/- upanuzi miundombinu
CHUO cha Kodi (ITA) kinahitaji zaidi ya sh bilioni 67 kwa ajili ya upanuzi wa miundombinu ili kuendana na kasi ya wanafunzi wanaohitaji mafunzo hayo. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar...
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Scholes: Mam Utd yahitaji vifaa sita
MCHEZAJI wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes amesema kikosi cha timu hiyo kinapaswa kuongezwa nguvu kwa usajili wa nyota wapya sita ili kurejea katika makali yake chini ya Kocha...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-DgMGPA7ccBE/VaWzFcCN5gI/AAAAAAADx4M/nOuklPcI-GU/s72-c/638078.jpg)
MONUSCO YAHITAJI USHIRIKIANO WA KARIBU ZAIDI NA DRC
![](http://4.bp.blogspot.com/-DgMGPA7ccBE/VaWzFcCN5gI/AAAAAAADx4M/nOuklPcI-GU/s640/638078.jpg)
Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC Bw. Martin Kobler akiwasilisha taarifa mbele ya Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kuhusu mchakato wa uchaguzi mkuu, hali ya usalama na mkakati wa kupunguza walinzi wa amani. na Kueleza kwamba utekelezaji wa mamlaka ya MONUSCO unahitaji ushirikiano endelevu kati yake na mamlaka za DRC
![](http://4.bp.blogspot.com/-z2YalJATzwk/VaWzEKn9j0I/AAAAAAADx4I/nWu24rvIXf4/s640/638068.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati ya Vikwanzo dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Dina Kawar akiwasilisha...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-PoOaSIK8e0g/VaWUzTfLEII/AAAAAAAHpzI/dYb5GSaYDl4/s72-c/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
MONUSCO YAHITAJI USHIRIKIANO ZAIDI NA MAMLAKA ZA DRC
![](http://2.bp.blogspot.com/-PoOaSIK8e0g/VaWUzTfLEII/AAAAAAAHpzI/dYb5GSaYDl4/s640/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-XQLw2kuF9ZM/VaWUzf9AXbI/AAAAAAAHpzM/CoOyYhodxKQ/s640/unnamed%2B%25284%2529.jpg)