Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ridhiwani apata baraka za jamii ya wafugaji

Kiongozi wa kimila wa jamii ya wafugaji wa Kijiji cha Mindutulieni, Kata ya Lugoba wilayani Chalinze, Ole Molaimet Reuben (61) amesema watu wake wameikubali na hawatambua chama kingine chochote cha siasa kwa kuwa wengi wao wakakikuta chama hicho tawala.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete azindua Kisima cha Maji, Lambo katika kijiji cha jamii ya Wafugaji cha Mbala,Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76. Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA RICHARD...

 

10 years ago

Dewji Blog

Membe apata baraka za watumishi wa Mungu kugombea urais wa Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na viongozi wa dini ya kiislam wa Mtwara mjini jana jioni, wakati wa dua maalum iliyoandaliwa na viongozi hao kwa ajili ya kumtakia kheri katika safari yake ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aliyekaa (kushoto) ni Sheikh wa Mkoa wa Mtwara, Dk. Nurdin Abdallah Mangochi. (Picha zote na John Badi).

SONY DSC

Waziri...

 

10 years ago

Vijimambo

MEMBE APATA BARAKA ZA VIONGOZI WA DINI KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na viongozi wa dini ya kiislam wa Mtwara mjini jana jioni, wakati wa dua maalum iliyoandaliwa na viongozi hao kwa ajili ya kumtakia kheri katika safari yake ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aliyekaa (kushoto) ni Sheikh wa Mkoa wa Mtwara, Dk. Nurdin Abdallah Mangochi. Picha zote na John Badi Waziri wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAFUGAJI CHALINZE SOMESHENI WATOTO, WASICHUNGE MIFUGO - RIDHIWANI

Na John Gagarini, Chalinze WAZAZI wa watoto wa wafugaji kwenye Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo wametakiwa kuachana na tabia ya kuwafanya watoto wao kuwa wachungaji wa mifugo huku wakikosa haki ya kupata elimu. Hayo yalisemwa kwenye na Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete Mazizi kata ya Msata wakati wa mkutano wa kampeni na kusema kuwa baadhi ya wazazi wa watoto wa wafugaji wanaendeleza utamaduni wa kutowapeleka watoto wao shule na kuwaacha...

 

10 years ago

Vijimambo

WANACCM 78, 500 WA MKOWA WA PWANI WAMDHAMINI MH. LOWASSA, APATA BARAKA ZA VIONGOZI WA DINI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Pwani, leo Juni 28, 2015, kabla ya kuelekea kwenye Ofisi CCM Wilaya ya Kibaha Mjini kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Jumla ya WanaCCM 78, 500 wamdhamini Mh. Lowassa, Mkoani Pwani. Kushoto ni Mkewe...

 

9 years ago

Mwananchi

Jamii ya wafugaji waiangukia Serikali

Viongozi wa Kimila wa Jamii ya Wafugaji wa Kimasai wameiomba Serikali iwashirikishe katika mipango mbalimbali ya maendeleo na kuhamasisha amani.

 

10 years ago

Michuzi

Dkt MUSA MDEDE apata Baraka za kuwa mbunge wa jimbo la kalenga kutoka kwa vijana wa kikatoliki wa jimbo hilo

 Dkt  MUSA LEONARDMDEDE akitoa neno katika kongamano la vijana wa Katoliki Vijana kikatoliki lililofanyika katika kijiji cha Ulete mkoani Iringa.Sehemu  ya vijana wakimsikiza mdede katika kongamano hilo. Baadhi ya viongozi wa vijana hao wakiwa makini kumsikiliza  Dkt. Mdede. Kwa habari kamili na picha zaidi.
BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Update ya msiba wa MAREHEMU REHEMA RAMADHANI BARAKA, mdogo wake mwenyekiti wa ASET BARAKA MSIILWA


Ifuatayo ni update ya msiba wa mdogo wake Mwenyekiti wa African Stars Entertainment (ASET) Baraka Msiilwa, Marehemu Furaha Ramadhani Baraka, kilichotokea wikiendi iliyopita huko Ubelgiji.

Taarifa ni kwamba mwili wa Marehemu mdogo wetu Furaha unaondoka Brussels kesho  usiku kwenda Zurich. Utalala Zuruch na kusafirishwa Jumatano Asubuhi kwa ndege ya shirika la Swiss Air, na unatarajiwa kuwasili Dar es salaam siku  hiyo hiyo ya Jumatano mnamo saa mbili usiku
Mazishi yamepangwa kufanyika siku ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani