Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Roma: ‘Mwanakondoo’ ni wimbo ambao umekaa kiupako kabisa, aizungumzia single mpya atakayoiachia Ijumaa hii (Dec.12)

Roma anatarajia kuachia single mpya Ijumaa hii iitwayo ‘Mwanakondoo’, ikiwa ni zawadi kwa mashabiki wake katika siku yake ya kuzaliwa Dec.12. “Kesho ni birthday yangu (Dec.12), kwahiyo nikaona katika zile stock za ngoma za Roma tuchukue moja wapo iwe kama zawadi hivi kwa mashabiki wangu, sijawahi kufanya chochote kile kwenye birthday yangu.” Roma ameiambia Bongo5 […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Timbaland kuachia mixtape yake Dec 25, itakuwa na wimbo wa Aaliyah ambao haujawahi kusikika

timbaland

Producer mkongwe ambaye pia ni rapper, Timbaland ametangaza ujio wa mixtape yake mpya ‘King Stays King’ ambayo anatarajia kuiachia kwenye sikukuu ya Krismas Dec.25 mwaka huu.

timbaland

Miongoni mwa nyimbo zitakazokuwemo kwenye mixtape hiyo ni pamoja na wimbo mpya wa muimbaji wa RnB marehemu Aaliyah ambao haukuwahi kutoka wala kusikika.

Mixtape hiyo itakayokuwa na nyimbo 16 itakuwa na nyimbo walizoshirikisha Young Thug, Rich Homie Quan, Mila J pamoja na Blaze.

“It’s been a while since I’ve been able...

 

9 years ago

Bongo5

Baghdad kuachia wimbo mpya wenye sauti za watu maarufu/mashuhuri 70 Ijumaa hii!

baghdad

Rapper Baghdad anaachia wimbo mpya Ijumaa hii, wimbo ambao mwenywe anasema utavunja rekodi kutokana na kutumia sauti za watu maarufu/mashuhuri 70.

baghdad

Katika wimbo huo unaoitwa ‘Unaakili wewe?” kamshirikisha Roma.

Kupitia Instagram Baghdad ambaye ameoa hivi karibuni na kupata mtoto wa kwanza, ameandika:

“Wimbo mpya wa baghdad na Roma unatoka tarehe….4th december Ijumaa!! Wimbo huo umevunja rekodi, kwakuwa wimbo uliohusisha watu maarufu/mashuhuri zaidi ya 50! Ndani ya wimbo huo utawasikia watu...

 

9 years ago

Bongo5

Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya ‘Viva Roma viva’ kisa tu nimeongea ukweli — Roma

Saa chache baada ya wimbo mpya wa Roma ‘Viva Roma viva’ kutoka September 9, rapper huyo amedai kuwa ametishiwa wimbo huo kufungiwa. Kupitia Instagram, majira ya saa mbili usiku Roma aliandika; “WANATAKA KUIFUNGIA NYIMBO YANGU!! KISA TU NIMEONGEA UKWELI!! INANIUMA SANA NATAMANI HATA KULIA NIKIONA UKWELI HAUPEWI NAFASI!! NIOMBEENI NA MNIKUMBUKE KWENYE SALA ZENU NDUGU […]

 

9 years ago

Bongo5

Roma asimulia ilivyokuwa hadi kumshirikisha Stamina kwenye ‘Mwanakondoo’

‘Mwanakondoo’ ni wimbo wa Roma uliotoka mwishoni mwa mwaka jana 2014, ambao aliwashirikisha Stamina, Maunda Zorro na Walter Chilambo. Kwa kawaida huwa kunakuwa na sababu zinazowakutanisha wasanii hadi kufikia hatua ya kukubaliana kufanya kazi, na Roma amesimulia jinsi ilivyokuwa hadi kumshirikisha Stamina kwenye wimbo huo. Kupitia Planet Bongo ya EA Radio, Roma amesema kuwa beat […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Ommy Dimpoz kuachia video ya ‘Tupogo Remix’ Ijumaa hii (Dec. 28)

Ommy Dimpoz anatarajiwa kuachia video ya hit single yake ya mwaka jana ‘Tupogo’, lakini hii ni Remix ambayo imepigwa katika mtindo mwingine. Jokate ndiye ‘mpenzi’ wa Ommy Dimpoz kwenye video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma. “Umeshawahi kuona Mahaba ya Mswahili kwenye Treni? Subiri kesho ujionee kwenye – TUPOGO REMIX out tomorrow”- Ommy Dimpoz

 

9 years ago

Bongo5

Roma atangaza kuachia wimbo mpya October 25 siku ya uchaguzi

Baada ya kukumbana na changamoto nyingi alipoachia wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’, Rapper wa Tongwe Records, Roma ametangaza kuja na wimbo mpya ambao atauachia siku ya uchaguzi mkuu. October 25 siku ambayo Watanzania watajipanga kwenye mistari kwajili ya kushiriki zoezi muhimu la kuwachagua viongozi wanaowataka, rapper Roma amepanga kuwapa wimbo mpya utakaotoka siku hiyo. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani