Ronaldo, Muller wamo kikosi bora Uefa
Kikosi bora cha wachezaji kumi na moja kilichocheza hatua ya makundi ya michuno ya klabu bingwa ulaya kimetangazwa na Uefa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-edSaAZs7Yb4/VXiPeuup33I/AAAAAAAACAc/6WuNbUgG8ec/s72-c/News-Picture-UEFA.jpg)
KIKOSI BORA CHA UEFA CHAMPIONS LEAGUE MSIMU HUU 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-edSaAZs7Yb4/VXiPeuup33I/AAAAAAAACAc/6WuNbUgG8ec/s400/News-Picture-UEFA.jpg)
Goal-keepers: Marc-Andre ter Stegen (Barcelona), Gianluigi Buffon (Juventus)Defenders: Branislav Ivanovic (Chelsea), Gerard Pique (Barcelona), Javier Mascherano (Barcelona), Giorgio Chiellini (Juventus), Jordi Alba (Barcelona)
Mid-fields: Ivan Rakitic (Barcelona), Sergio Busquets (Barcelona), Andres Iniesta (Barcelona), Claudio Marchisio (Juventus), Toni Kroos (Real Madrid),Andrea Pirlo (Juventus)Strikers:Luis Suarez (Barcelona), Alvaro Morata (Juventus), Neymar (Barcelona), Cristiano Ronaldo...
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Zidane, Ronaldo bado wamo
9 years ago
Dewji Blog23 Nov
Klopp akipigia mahesabu kikosi chake kufuzu kucheza ligi ya mabingwa Ulaya UEFA 2016!
Klopp..
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Liverpool, Judgen Klopp amesema ana wakati mgumu kuhakikisha anaipeleka timu yake ya Liverpool kucheza ligi ya mabingwa Ulaya UEFA baada ya kuiangushia kichapo cha mabao 4-1, timu ya Manchester City.
Kwa mujibu Chanzo cha mtandao wa Espnfc.com Kocha Klopp amefunguka juu ya kikosi chake hicho kilichong’ara kwenye mchezo huo wa mwishoni mwa wiki ambapo ameeleza atahakikisha kila mchezo wanaocheza wanapata ushindi ili wazidi kujitengenezea wakati...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/saEvSFZMI0msGzI4TrY6KTmDlX6cToaMq-2XA8uqH8*9hJKo7*-q0Y7DnU2v-aThis6wMlMgRMAdABg9XMWxXROsIiDnYhzP/uefa.jpg?width=650)
11 years ago
BBCSwahili16 Dec
Timu zitakazokutana 16 bora Uefa
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Kikosi bora cha Dunia
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Ronaldo mchezaji bora wa Ulaya
9 years ago
Bongo510 Dec
Arsenal yaingia 16 bora, matokeo ya mechi za UEFA Dec 9
![2F379FD000000578-0-image-a-69_1449695516399](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2F379FD000000578-0-image-a-69_1449695516399-300x194.jpg)
Michezo ya hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya iliendelea tena usiku wa December 9 kwa mechi nane baada ya makundi ya E, F, G na H, michezo hiyo ilichezwa wakati timu 10 kati ya 32 zikiwa zimeshajihakikishia nafasi ya kwenda hatua ya 16 bora hivyo nafasi 6 pekee ndio zilikuwa zinawaniwa.
Klabu ya Arsenal ambayo ilikuwa nafasi ya tatu katika msimamo wa Kundi F, nafasi yake ya kuendelea hatua ya 16 bora ilikuwa mikononi mwake yenyewe, ilifanikiwa kuifunga Olympiakos ya Ugiriki...