Zidane, Ronaldo bado wamo
Wakongwe wa soka, Zinedine Zidane na Ronaldo kwa mara nyingine tena wamewakusanya wachezaji nyota mbalimbali wa zamani na kucheza mechi kwa ajili ya kukusanya fedha kusaidia maskini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili16 Dec
Ronaldo, Muller wamo kikosi bora Uefa
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Video ya Ronaldo, Bale, Ramos na wengine wa Real Madrid wakimpokea Zidane dressing room …
Real Madrid ilitangaza kumfuta kazi kocha Rafael Benitez na nafasi yake kuchukuliwa na mkongwe Zinedine Zidane, kwenye hii post hapa nimekuwekea video ya jinsi Zidane alivyowasili katika vyumba vya kubadilishia nguo vya Wachezaji wa Real Madrid na kukutana na wachezaji wake kwa siku ya kwanza kama kocha. Hii video hapa chini ni ya Zidane akiwa uwanjani kwenye siku ya kwanza […]
The post Video ya Ronaldo, Bale, Ramos na wengine wa Real Madrid wakimpokea Zidane dressing room … appeared first...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1crkArbmc9DgL9g-4Cm8MC5SJlNiam-Xcufi4siIhyi3S9OREa8XWNO0ZpM*DfcoFQ5zAvy-oRfH6LbA7YqRm7bq/1jlonew.jpg?width=650)
JENNIFER LOPEZ BADO WAMO, ATINGA JUKWAANI NA ‘KINGUO TATA’
5 years ago
BBCSwahili07 Mar
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 07.03.2020: Zidane, De Bruyne, Sterling, Skriniar, Zidane, Cantwell, Matic
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Ronaldo bado hali mbaya
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Sura za kina Ronaldo bado zinapiga pesa
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Yaya katika kikosi cha Zidane
9 years ago
BBCSwahili07 Jan
Madrid Kazi kwa bidii –Zidane.
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Zidane amkingia kifua Benzema Ufaransa
MADRID, HISPANIA
NYOTA wa zamani wa timu ya Taifa ya Ufaransa na Klabu ya Real Madrid, Zinedine Zidane, amekitaka Chama cha soka nchini humo (FFF), kulitupilia mbali suala la Karim Benzema la kashfa ya kumiliki mkanda wa ngono.
Chama hicho kwa kushirikiana na waziri wa michezo nchini humo, walisema wanaendelea na uchunguzi ili kuhakikisha kama kweli mchezaji huyo anahusika katika vitendo hivyo na kama anahusika anatakiwa kufungiwa maisha kuitumikia timu hiyo ya taifa.
Ufaransa watakuwa...