Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rose, Jesca wajitosa BAVICHA

UCHAGUZI mkuu ngazi ya taifa ndani ya Chama cha Demokrasia (CHADEMA) unazidi kupamba moto, ambapo wanawake wanajitokeza kwa wingi kuchuana na wanaume katika nafasi za juu. Juzi Rose Mayemba kutoka...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

JESCA : Mke wa Kafulila anayeiota Escrow

Miezi kadhaa iliyopita taifa lilishuhudia kuibuliwa kwa sakata la ufisadi wa zaidi ya Sh300 bilioni, katika Akaunti ya Tegeta Escrow na kusababisha mawaziri kadhaa kuachia ngazi. Ufisadi huo, uliibuliwa na mbunge wa Kigoma Kusini, (NCCR –Mageuzi) David Kafulila ambaye alieleza Bunge jinsi fedha hizo zilivyochotwa na baadhi ya watumishi wa Serikali.

 

5 years ago

Mwananchi

Jesca BM: Muziki ndio maisha yangu

Kati ya waimbaji nyota wa muziki wa injili wanaokuja kwa kasi hapa nchini hivi sasa, Jesca Honore maarufu kwa jina la Jesca BM ni miongoni mwao.

 

9 years ago

Mtanzania

Martha Mwaipaja, Jesca, Mwahangila kupanda jukwaa la Krismasi

marthaNA MWANDISHI WETU

WAIMBAJI nyota wa muziki wa Injili hapa nchini, Martha Mwaipaja, Jesca BM na Christopher Mwahangila, wanatarajia kupanda katika jukwaa la Tamasha la Krismasi linalotarajiwa kufanyika Desemba 25, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.

Waimbaji hao wanaungana na wenzao waliotangulia kuthibitisha kushiriki tamasha hilo, ambalo lina malengo ya
kurudisha shukrani kwa Mungu baada ya kufanikisha uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 kwa amani na utulivu.
Mwenyekiti...

 

9 years ago

Michuzi

Martha Mwaipaja, Jesca BM, Mwahangila kupanda jukwaa la Krismasi

WAIMBAJI nyota wa muziki wa Injili hapa nchini Martha Mwaipaja, Jesca BM na Christopher Mwahangila wanatarajia kupanda katika jukwaa la Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Waimbaji hao wanaungana na wenzao waliotangulia kuthibitisha kushiriki tamasha hilo ambalo lina mlengo wa kurudisha Shukrani kwa Mungu baada ya kufanikisha uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 kwa amani na utulivu.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Bongo5

Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha

Msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye alikuwa mbioni kufunga ndoa na mzazi mwenzake, msanii wa kundi la TNG, Malick Bandawe maarufu kama King Chiwaman wameachana kutokana na kutoelewana ndani ya mahusiano yao. Rose Ndauka na Chiwaman Akizungumza na bongo5 leo, Rose amesema wamejaribu kukaa chini na kuyaweka sawa mahusiano yao lakini imeshindika na kuona sulihisho […]

 

10 years ago

GPL

ALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE

Mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe wakati akihojiwa na Global TV Online leo. Malick akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wakati akihojiwa na Global TV Online.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake wajitosa Simba

WAKATI uchukuaji na urejeshaji fomu za uchaguzi mkuu wa Klabu ya Simba ukitarajiwa kufungwa kesho, wanawake wawili jana wamejitosa kuwania nafasi ya ujumbe. Uchaguzi wa Simba unatarajia kufanyika jijini Dar...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanamichezo wajitosa siasa

Wasanii na wanamichezo mbalimbali nchini wamejitokeza kuomba fursa ya kugombea ubunge, udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

284 wajitosa uchaguzi CHADEMA

WAGOMBEA watatu wamejitokeza kuchuana na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, Septemba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani