Rose Muhando na Kamata Pindo la Yesu kutawala Tamasha la xmass

JINA la Rose Muhando ni mojawapo ya majina yanayofanya vizuri katika muziki wa Injili barani Afrika hasa kutokana na uwezo wake jukwaani pindi anapofikisha uinjilishaji kwa waamini na mashabiki mbalimbali. Muhando ni mzaliwa wa kijiji cha Dumila, wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, Tanzania, Afrika Mashariki na ni mwimbaji wa nyimbo za injili kwa lugha ya Kiswahili ambaye umahiri wake awapo jukwaani umefanikisha kutambulika barani Afrika. Rose atakayepanda jukwaani kuanzia Desemba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Rose Muhando aipua ‘Kamata Pindo la Yesu’
MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Tanzania anayeongoza kwa kupigiwa upatu na mashabiki kwenye Tamasha la Pasaka, Rose Muhando, amekamilisha albamu yake ya tano inayojulikana kama ‘Kamata Pindo la Yesu’...
11 years ago
Michuzi
Rose Muhando kupeleka Pindo la Yesu Mwanza

11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
ROSE MUHANDO: Njooni tulikamate Pindo la Yesu mbele ya Sum
MALKIA wa Muziki wa Injili Afrika Mashariki na Kati, mwanadada Rose Muhando, Jumapili hii atawaleta pamoja maelfu ya wapenzi na mashabiki wa muziki huo katika uzinduzi wa albamu yake ya...
11 years ago
Michuzi26 Jul
KUMEKUCHA UZINDUZI WA ALBAM YA "SHIKILIA PINDO LA YESU" YA ROSE MUHANDO

11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Kiingilio ‘Kamata Pindo la Yesu’ buku 5
WADHAMINI wa uzinduzi wa video ya albamu ya ‘Kamata Pindo la Yesu’, Kampuni ya Msama Promotions, wametangaza kiingilio cha kushuhudia uzinduzi huo utakaofanyika Agosti 3, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee,...
11 years ago
GPL‘PINDO LA YESU’ YA ROSE MHANDO YAZINDULIWA JANA
11 years ago
Dewji Blog04 Aug
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye azindua Albam ya “Shikilia Pindo la Yesu” ya Rose
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akikata utepe wakati akizindua rasmi albam ya Rose Muhando mwimbaji wa muziki wa injili inayoitwa Shikilia Pindo la Yesu katika onesho kubwa la uzinduzi lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo likihudhuriwa na maelefu ya washabiki wa muziki wa injili, ambapo waimbaji mbalimbali wameshiriki katika uzindzi huo wakiwemo Ephraim Sekereti Kutoka Zambia, Sara K. kutoka Kenya , Upendo Kilahiro, Upendo Nkone John Lisu na...
9 years ago
Michuzi
ROSE MUHANDO KUNOGESHA TAMASHA LA KUSHUKURU DIAMOND JUBILEE

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa matamasha ya muziki wa injili nchini Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam wakati alipofafanua mambo mbalimbali kuhusu maandalizi ya tamasha la kushukuru baada ya kufanyika na kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania salama salimini.
Msama amesema maandalizi yanaendelea vizuri na amemtangaza rasmi mwimbaji Rose Muhando kama mmoja wa waimbaji wa muziki wa injili watakaoshiriki katika tamasha hilo, ...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Muhando kuachia ‘Kung’uta Yesu’
MALKIA wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando, mwishoni mwa mwezi huu anatarajiwa kuachia albamu mpya itakayojulikana kwa jina la ‘Kung’uta Yesu’. Nyimbo tano katika albamu hiyo amezirekodi nchini Afrika...