Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muhando kuachia ‘Kung’uta Yesu’

MALKIA wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando, mwishoni mwa mwezi huu anatarajiwa kuachia albamu mpya itakayojulikana kwa jina la ‘Kung’uta Yesu’. Nyimbo tano katika albamu hiyo amezirekodi nchini Afrika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rose Muhando kupeleka Pindo la Yesu Mwanza

MWIMBAJI mahiri nchini, Rose Muhando anatarajia kutambulisha kwa mashabiki wake albamu ya Kamanda Pindo la Yesu Agosti 10 mwaka huu Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.Albamu hiyo itazinduliwa Agosti 3 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee Dar es Salaam na baada ya hapo itatambulishwa katika mikoa kadhaa nchini.Taarifa ya mwimbaji huyo kwa vyombo vya habari jana, ilieleza kuwa tayari mkoa wa Mwanza umekuwa chaguo lake la kwanza baada ya uzinduzi wa Dar es Salaam.“Nitazindua Diamond Jubilee Agosti 3,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rose Muhando aipua ‘Kamata Pindo la Yesu’

MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Tanzania anayeongoza kwa kupigiwa upatu na mashabiki kwenye Tamasha la Pasaka, Rose Muhando, amekamilisha albamu yake ya tano inayojulikana kama ‘Kamata Pindo la Yesu’...

 

10 years ago

Michuzi

Rose Muhando na Kamata Pindo la Yesu kutawala Tamasha la xmass

JINA la Rose Muhando ni mojawapo ya majina yanayofanya vizuri katika muziki wa Injili barani Afrika  hasa kutokana na uwezo wake jukwaani pindi anapofikisha uinjilishaji kwa waamini na mashabiki mbalimbali. Muhando ni mzaliwa wa kijiji cha Dumila, wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, Tanzania, Afrika Mashariki na ni mwimbaji wa nyimbo za injili kwa lugha ya Kiswahili ambaye umahiri wake awapo jukwaani umefanikisha kutambulika barani Afrika.  Rose atakayepanda jukwaani kuanzia Desemba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

ROSE MUHANDO: Njooni tulikamate Pindo la Yesu mbele ya Sum

MALKIA wa Muziki wa Injili Afrika Mashariki na Kati, mwanadada Rose Muhando, Jumapili hii atawaleta pamoja maelfu ya  wapenzi na mashabiki wa muziki huo  katika uzinduzi wa albamu yake ya...

 

11 years ago

Michuzi

KUMEKUCHA UZINDUZI WA ALBAM YA "SHIKILIA PINDO LA YESU" YA ROSE MUHANDO

2Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za kampuni hiyo zilizoko Moroco jijini Dar es salaam wakati akielezea kuhusu kukamilika kwa maadalizi ya uzinduzi wa albam ya mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando inayojulikana kama "Kamata Pindo la Yesu" maarufu FACEBOOK utakaofanyika kwenye ukumbi wa VIP Diamond Jubilee Agosti 3/ 2014 jijini Dar es salaam na kufuatiwa na maonesho mengine katika mikoa ya Tabora, Geita na Mwanza mara...

 

11 years ago

Michuzi

ROSE MUHANDO ALALAMIKIA WEZI WA KAZI ZA WASANII,KUACHIA ALBAMU YAKE HALISI JUMAPILI

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Rose Muhando amelalamika kuwa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu Albamu anayotarajia kuizindua Jumapili wiki hii imeingizwa mtaani na wezi wa kazi za wasanii, hivyo kuonya wananchi wawe makini kwani albamu yake halisi itatoka Jumapili. Taarifa kwa vyombo vya habari aliyoitoa Muhando jana, ilieleza kuwa albamu yake halisi bado haijaingia mtaani na kwamba hiyo wanayoiona wananchi sasa ni bandia na mtu atakayewauzia wamripoti polisi. “Albamu ya Kamata Pindo...

 

10 years ago

Mwananchi

Usiwategemee waliolala na kudanganyika, uta...

Jirani yangu Bwana. Ni mwishiwa mwenzangu na tangu zamani, tulipenda kufakamia supu kwa pamoja, kila kukiwa na kikao cha waishiwa. Lakini naona sasa wakati umefika kuachana naye kabisa.

 

11 years ago

GPL

NABII: HUYU SI YESU

Stori: MAKONGORO OGING’
Mtume na Nabii Hebron Wilson Kisamo amesema picha ya Yesu Kristo inayotumiwa na baadhi ya madhehebu ya Kikrito duniani siyo ya mwokozi huyo wa roho za watu. Mtume na Nabii Hebron Wilson Kisamo mwenye kanisa lake maeneo ya Moshono, Arusha. Nabii huyo ambaye ana kanisa lake maeneo ya Moshono, Arusha aliyasema hayo hivi karibuni kupitia kituo kimoja cha runinga nchini. Alisema watu wengi katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yesu alizaliwa wakati gani?

“TAREHE mahsusi na muafaka ambayo  Yesu Kristo alizaliwa haijulikani,” kinasema kitabu cha Encyclopedia of Early Christianity. Hata hivyo, mamilioni ya watu ulimwenguni husherehekea kuzaliwa kwa Yesu  Desemba 25. Lakini tarehe hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani