ROSE NDAUKA AKATAA KUMSAMEHE MZAZI MWENZAKE
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/ROSE2.jpg?width=650)
Diva wa filamu Bongo, Rose Ndauka akiwa na mzazi mwenziye, Malick Bandawe. Na Laurent Samatta/Amani DIVA wa filamu Bongo, Rose Ndauka ametoa ya rohoni kwamba hatokaa amsamehe mzazi mwenziye, Malick Bandawe. Akizungumza na Amani, Ndauka alisema alishawahi kufuatwa na mzazi mwenzake huyo kwa lengo la kumuomba msamaha ili waendelee na mapenzi yao lakini hakuwa tayari kumsamehe. “Kuachana tumeshaachana, kama kurudi huwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/yv5LJqWpO0pYYe7F8egnU3OzPeTECBeQyXTlyMbWrNyV4NnC4rj4z-9qn2i-pFC9wMzc*oiCe7ug4HzstXcVWE8sHWACpeM7/rose3.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AFUNGUKA KUTOMMISI MZAZI MWENZAKE
10 years ago
Bongo Movies29 Apr
Mkewe Shetta Akataa Gari, Rose Ndauka Atajwa
Kwa mujibu wa gazeti la leo la Risasi, inadaiwa kuwa katika kuhakikisha anainusuru ndoa yake iliyotikisika kufuatia madai ya kutoka na muigizaji Rose Ndauka, msanii wa Bongo Fleva Nurdin Bilal ‘Shetta’ amemnunulia mkewe gari aina ya Toyota Mark X lenye thamani ya shilingi milioni 19, lakini bibie huyo amelikataa na kuendelea kuishi mbali naye.
Akiongea na gazeti hilo, Shetta alisema mpaka sasa mkewe huyo, Leila Yusuf bado hajarudi nyumbani kwake kwani alifanya hivyo kama mojawapo ya njia...
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70shEKr1*TgA9JleJRMEyGSLB-pM5b3HKzCsUS3kTSddZvNncWeopC*i860BSq-9CkzJbcP*2r*oZo1Cl*MX20Qe/SHAMSA.gif?width=650)
SHAMSA AONESHA JEURI KWA MZAZI MWENZAKE
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Shy-Rose adaiwa kumpiga mbunge mwenzake Nairobi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r6sNXtBn71TOLW-G0NnokLcITIabRTPB5gbLawG4qmRtpa7BNIp5PYtKdfLreQ*DhJGaNWun1hd2pfvUVylc2O/rose.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycFhwt31oy7U4ORJMENKY9BM6cqo15IegDzbC7n1d97ePI0XcoH-v985NhQeTjaCBff5nAQq5UdcSNLl6xS5qoLU/rose.jpg)
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
10 years ago
Mtanzania05 May
Rose Ndauka apingana na mvua
Na Rhobi Chacha
WAKATI wakulima wakishangilia ujio wa mvua za wastani, mwigizaji Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua hizo kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Msanii huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,”...