ROSE NDAUKA AFUNGUKA KUTOMMISI MZAZI MWENZAKE

Mwigizaji wa filamu Bongo, Rose Ndauka. Na Laurent Samatta/Risasi KAMA kawa kama dawa, tunakutana tena katika safu yetu ya Sindano 5, kutokana na maombi mliyonitumia wiki iliyopita tulipoianza safu hii, leo tunawaletea mwigizaji Rose Ndauka ambaye wengi mlimpendekeza awepo katika safu hii. Mahojiano kati yake na paparazi wetu yalikuwa hivi:    •Paparazi: Rose Ndauka mambo vipi? Siri ya urembo wako ni nini maana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
ROSE NDAUKA AKATAA KUMSAMEHE MZAZI MWENZAKE
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
11 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPL
SHAMSA AONESHA JEURI KWA MZAZI MWENZAKE
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Shy-Rose adaiwa kumpiga mbunge mwenzake Nairobi
11 years ago
GPL
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
11 years ago
GPL
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA
10 years ago
GPL
ROSE NDAUKA, MANECKY LAIVU!
10 years ago
Mtanzania05 May
Rose Ndauka apingana na mvua
Na Rhobi Chacha
WAKATI wakulima wakishangilia ujio wa mvua za wastani, mwigizaji Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua hizo kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Msanii huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,”...