Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ruge wa Escrow afanya kufuru Dar

rugemaliraNa Mwandishi Wetu, Dar
MAMILIONI ya shilingi yanadaiwa kutumika katika sherehe ya kuadhimisha miaka 70 ya kuzaliwa kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya VIP Engineering, iliyokuwa ikimiliki hisa za mitambo ya kufua umeme ya IPTL, James Rugemalira.
Shughuli hiyo inayodaiwa kufanyika nyumbani kwa mtoto wake aitwaye Eve, eneo la Makongo Juu, jijini Dar es Salaam katikati ya wiki iliyopita, iliwakusanya watu wasiopungua 70, wakiwemo watoto wake, wajukuu na baadhi ya marafiki wa familia hiyo.
Habari...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RUGE WA ESCROW USIPIME!

Waandishi Wetu
LOOH usipime! Yule bilionea aliyezidi kupata jina kwa kutajwa kwenye sakata la fedha za Akaunti ya Tegeta Escrow, James Rugemalira ‘Ruge wa Escrow’, amefanya maadhimisho makubwa aliyoyaita kumbukumbu ya kifo cha mjukuu wake, Isabella  Benita Bulengo. James Rugemalira ‘Ruge wa Escrow’. Kumbukumbu hiyo ya kuadhimisha miaka mitatu tangu kifo, ilifanyika Aprili 25, mwaka huu nyumbani kwa...

 

11 years ago

GPL

ALEX MASSAWE AFANYA KUFURU YA FEDHA SAUZI

Video inayomuonesha mtu anayedaiwa kuwa Alex Massawe akiwa na kijana mmoja wakionyesha jeuri ya fedha nchini Afrika Kusini. Stori: Makongoro Oging’ WAKATI akisakwa kwa udi na uvumba na serikali ya Tanzania ili kuunganishwa katika kesi ya mauaji jijini Dar es Salaam, mfanyabiashara maarufu nchini, Alex Massawe anadaiwa kufanya jeuri ye fedha nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’.… WATCH VIDEO ...

 

11 years ago

GPL

YAMOTO NA SKYLIGHT BAND ZAFANYA KUFURU DAR LIVE

Mwanadada Aneth Kushaba wa Skylight Band akiwapagawisha mashabiki wa Dar Live. Yamoto Band chini ya Prezidaa wake, Dodo Aslay (wa pili kulia) wakifanya yao stejini.…

 

10 years ago

GPL

WASANII WAKONGWE WAPANIA KUFANYA KUFURU KATIKA UZINDUZI WA KAONE SANAA GROUP NDANI YA DAR LIVE

Mastaa waliokuwa wakiunda kundi la zamani la Kaole wakiongea na wanahabari (hawapo pichani) jinsi walivyopania kufanya kweli kwenye uzinduzi wa kundi lao jipya la Kaone, Boxing Day ndani ya Dar Live. Muhogo Mchungu akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Kushoto ni msanii…

 

10 years ago

Mwananchi

Ruge apasua jipu

Mkurugenzi wa Kituo cha Vipaji Tanzania (THT), Ruge Mutahaba amesema taasisi hiyo ni sehemu ya mikakati ya kukuza vipaji vya wasanii, na kamwe wanafunzi wake hawahusiani na mambo binafsi yanayowahusu viongozi.

 

10 years ago

GPL

KESI YAKE NA RUGE, JIDE AHUKUMIWA

Na Musa Mateja Hatimaye ile kesi ya kudaiwa kuuchafua uongozi wa Clouds Media Group na mkurugenzi wake wa vipindi na uzalishaji, Ruge Mutahaba iliyokuwa ikimkabili staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ imetolewa hukumu ambapo mwanamuziki huyo ameamriwa kutozungumza chochote (amefungwa mdomo) juu ya walalamikaji hao. Mkurugenzi wake wa vipindi na uzalishaji, Ruge Mutahaba. Habari za kuaminika kutoka...

 

10 years ago

GPL

ASHA BARAKA, RUGE WAWATOLEA UVIVU MASTAA

Mkurugenzi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’ Asha Baraka. Stori: Musa Mateja
MKURUGENZI wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’ na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba wamewatolea uvivu mastaa wanaojihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya (mateja) na kuwataka waache wenyewe. Wakizungumza katika mahojiano maalum na...

 

10 years ago

Mwananchi

Sugu, Lady Jay Dee waliniumiza kichwa-Ruge

Ruge Mutahaba anaweza kuwa ametajwa kwenye masakata mengi ya ubaya dhidi ya wasanii, akibebeshwa lawama kuliko mtu mwingine yeyote kwenye tasnia ya muziki, lakini kwake ni mambo matatu tu ndiyo anaona yamemsumbua sana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani