Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KESI YAKE NA RUGE, JIDE AHUKUMIWA

Na Musa Mateja Hatimaye ile kesi ya kudaiwa kuuchafua uongozi wa Clouds Media Group na mkurugenzi wake wa vipindi na uzalishaji, Ruge Mutahaba iliyokuwa ikimkabili staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ imetolewa hukumu ambapo mwanamuziki huyo ameamriwa kutozungumza chochote (amefungwa mdomo) juu ya walalamikaji hao. Mkurugenzi wake wa vipindi na uzalishaji, Ruge Mutahaba. Habari za kuaminika kutoka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mkazi wa Singida aliyeuwa baba yake ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

DSC03650-6

Jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Singida mahali mahakama kuu inaendelea na vikao vyake.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

Mkulima mkazi wa kijiji cha Damankia kata ya Dungunyi wilaya ya Ikungi mkoani Singida,Silvery Adriano (56), amehukumiwa na mahakama kuu kanda ya Dodoma inayoendelea na vikao vyake mjini hapa,adhabu ya kunyongwa hadi kufa, baada ya kupatikana na hatia ya kumuuwa baba yake mzazi kwa makusudi.

Imedaiwa mahakamani hapo kuwa mshitakiwa Silvery...

 

10 years ago

Mwananchi

Ponda aomba kesi yake isimamishwe

Wakili Nassoro Juma anayemtetea Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameiomba Mahakama Kuu itumie busara kusimamisha kesi ya jinai inayomkabili mteja wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro.

 

11 years ago

GPL

ZITTO KABWE ASHINDA HUKUMU YA KESI YAKE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambapo imempa kinga ya muda kutojadiliwa uanachama wa ke na Kamati Kuu ya…

 

10 years ago

GPL

RUFAA YA PONDA YATUPILIWA MBALI, KESI YAKE YAAHIRISHWA

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetupilia mbali rufaa ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda iliyopelekwa na wakili wake Juma Nassoro ya kupinga hatia ya adhabu aliyohukumiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akidai kuwa hapakuwa na ushahidi wa kutosha wa kumtia hatiani kwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili. Kesi nyingine inayomkabili kiongozi huyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

 

5 years ago

Michuzi

MWANDISHI AWEKWA KARANTINI, ASHINDWA KUHUDHURIA KESI YAKE

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa aliyekuwa Mhariri wa gazeti la Mawio, Jabir Idrissa anayekabiliwa na kesi ya uchochezi pamoja na wenzake watatu aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu yupo kwenye uangalizi huko Visiwani Zanzibar, (karantini).
Wakili wa serikali, Sylvia Mitanto amedai hayo leo Aprili 23,2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa lakini mshitakiwa Idrissa yupo karantini na Lissu hayupo mahakama.
Mbali...

 

11 years ago

GPL

LULU APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA

Staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' pamoja na Mahsein Awadh 'Dk. Cheni' wakipitia Gazeti la Ijumaa Wikienda ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati wakisubiri kusikiliza kesi inayomkabili Lulu juu ya kifo cha msanii Steven Kanumba. Elizabeth Michael 'Lulu' (katikati) akiwa na mama yake mzazi, Lucresia Karugila (wa pili kushoto) na Dk. Cheni… ...

 

10 years ago

GPL

SINGANO ASHINDA KESI YA KIMKATABA KATI YAKE NA SIMB

Ramadhani Singano 'Messi' . TFF imemtangaza mchezaji Ramadhani Singano 'Messi' kuwa mchezaji huru kwa madai kuwa Simba ilikiuka masharti na hivyo kusababisha mkataba huo kuvunjika.

 

11 years ago

GPL

SHEIKH PONDA APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA

Sheikh Ponda Issa Ponda akitolewa mahakamani kuelekea kwenye gari. Wafuasi wa Sheikh Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar kufuatilia kesi ya kiongozi wao.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani