Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RUGE WA ESCROW USIPIME!

Waandishi Wetu
LOOH usipime! Yule bilionea aliyezidi kupata jina kwa kutajwa kwenye sakata la fedha za Akaunti ya Tegeta Escrow, James Rugemalira ‘Ruge wa Escrow’, amefanya maadhimisho makubwa aliyoyaita kumbukumbu ya kifo cha mjukuu wake, Isabella  Benita Bulengo. James Rugemalira ‘Ruge wa Escrow’. Kumbukumbu hiyo ya kuadhimisha miaka mitatu tangu kifo, ilifanyika Aprili 25, mwaka huu nyumbani kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Ruge wa Escrow afanya kufuru Dar

rugemaliraNa Mwandishi Wetu, Dar
MAMILIONI ya shilingi yanadaiwa kutumika katika sherehe ya kuadhimisha miaka 70 ya kuzaliwa kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya VIP Engineering, iliyokuwa ikimiliki hisa za mitambo ya kufua umeme ya IPTL, James Rugemalira.
Shughuli hiyo inayodaiwa kufanyika nyumbani kwa mtoto wake aitwaye Eve, eneo la Makongo Juu, jijini Dar es Salaam katikati ya wiki iliyopita, iliwakusanya watu wasiopungua 70, wakiwemo watoto wake, wajukuu na baadhi ya marafiki wa familia hiyo.
Habari...

 

10 years ago

GPL

MALI ZA VIGOGO ESCROW USIPIME

Stori: Mwandishi Wetu
HUKU moto wa upotevu wa fedha za umma katika akaunti ya Tegeta Escrow ukiwa bado unawaka kufuatia mawaziri wawili, mwanasheria mkuu wa serikali, katibu mkuu mmoja na Bodi ya Tanesco kutakiwa kuwajibishwa, mali zinazomilikiwa na vigogo waliochotewa fedha hizo usipime. Moja ya ghorofa la kifahari katika maghorofa yanayomilikiwa na vigogo wa Escrow. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kwa wanaotajwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ruge apasua jipu

Mkurugenzi wa Kituo cha Vipaji Tanzania (THT), Ruge Mutahaba amesema taasisi hiyo ni sehemu ya mikakati ya kukuza vipaji vya wasanii, na kamwe wanafunzi wake hawahusiani na mambo binafsi yanayowahusu viongozi.

 

10 years ago

GPL

KESI YAKE NA RUGE, JIDE AHUKUMIWA

Na Musa Mateja Hatimaye ile kesi ya kudaiwa kuuchafua uongozi wa Clouds Media Group na mkurugenzi wake wa vipindi na uzalishaji, Ruge Mutahaba iliyokuwa ikimkabili staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ imetolewa hukumu ambapo mwanamuziki huyo ameamriwa kutozungumza chochote (amefungwa mdomo) juu ya walalamikaji hao. Mkurugenzi wake wa vipindi na uzalishaji, Ruge Mutahaba. Habari za kuaminika kutoka...

 

10 years ago

GPL

ASHA BARAKA, RUGE WAWATOLEA UVIVU MASTAA

Mkurugenzi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’ Asha Baraka. Stori: Musa Mateja
MKURUGENZI wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’ na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba wamewatolea uvivu mastaa wanaojihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya (mateja) na kuwataka waache wenyewe. Wakizungumza katika mahojiano maalum na...

 

10 years ago

Mwananchi

Sugu, Lady Jay Dee waliniumiza kichwa-Ruge

Ruge Mutahaba anaweza kuwa ametajwa kwenye masakata mengi ya ubaya dhidi ya wasanii, akibebeshwa lawama kuliko mtu mwingine yeyote kwenye tasnia ya muziki, lakini kwake ni mambo matatu tu ndiyo anaona yamemsumbua sana.

 

11 years ago

GPL

SIRI NJE: KADI GARI LA GURUMO ANAYO RUGE

Stori: Musa Mateja
SIRI nzito yaanikwa juu ya utata wa nani mrithi wa gari alilokuwa akitumia marehemu Maalimu Mhidini Gurumo huku pia gazeti hili likibaini kuwa kadi ya gari hilo ipo kwa Ruge Mutahaba. Diamond Platinum akimkabidhi ufunguo ya gari aina ya Toyota Fun Cargo marehemu Gurumo. Ruge ni Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Kampuni ya Clouds Media Group ya jijini Dar es Salaam.
Mbali na kujulikana kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mapokezi ya Diamond usipime

Polisi jijini Dar es Salaam jana walilazimika kuingilia kati msafara wa mwanamuziki Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya vurugu kutokea wakati mashabiki wakimlaki aliporejea nchini akitokea Afrika Kusini alikoshinda tuzo tatu za Channel O Music Video Awards.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani