Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RUSHWA YA NGONO UKATILI WA KIJINSIA TUUPIGE VITA KINAMAMA WENZANGU - JAJI MSTAAFU EUSEBIA MUNUO

Jaji Mstaafu wa mahakama ya Rufaa Eusebia Munuo akiongea kwenye Kongamano la wanawake wa Jumuiya ya Afrika mashariki Leo ikiwa ni kuanza kwa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kesho kutwa tarehe 8, MACHI 2020. Picha zote na Ahmed Mahmoud ArushaMbunge wa bunge la Afrika mashariki EALA Francoise Uwumukiza akiongea kwenye Kongamano hilo la kujadili changamoto za wafanyabiashara wanawake mipakani lililofanyika kwenye ukumbi wa Jumuiya ya Afrika mashariki Jijini Arusha leo.
Meza kuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TANZANIA'S EUSEBIA MUNUO: THE FIRST FEMALE MAGISTRATE & JUSTICE OF APPEAL IN EAST AFRICA



1. Introduction

There are many untold or unknown stories about unique Tanzanian women who have had extraordinary professional careers. One of those stories is that of Retired Lady Justice EUSEBIA NICHOLAS MUNUO. She presided over many Criminal and Civil cases and accumulated many FIRSTS in her illustrious professional career spanning over 4 decades while facing many challenges, along the way, in a predominantly male legal profession but soldiered on until she, triumphantly, bowed out of the...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vita ukatili wa kijinsia Zanzibar kitendawili

NINI kifanyike kutokomeza ukatili wa kijinsia unaoendelea kutesa Tanzania bara na Visiwani kwa ujumla? Hili ni suala ambalo halijapata jibu kwani wanaharakati mbalimbali wanafanya makongamano, mikutano na tafiti ili kuweza...

 

5 years ago

Michuzi

JAJI KIONGOZI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JAJI MSTAAFU MUSHI

 Jaji Kiongozi   wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi (wa kwanza kushoto) akiwaongoza   baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Tanzania kuubeba mwili wa marehemu , Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nathaniel Melkizedek Mushi, kwa ajili ya mazishi, alifariki dunia Machi 11, mwaka huu nyumbani kwake Mailisita Moshi Mjini, ambapo pia mazishi yake yalifanyika katika eneo hilo, mwanzoni mwa wiki hii mkoani Kilimanjaro. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe....

 

9 years ago

Dewji Blog

Nawashangaa mawaziri wakuu wenzangu waliostaafu, wakidai CCM miaka 50 hakuna kilichofanya-Jaji Warioba

Waziri Mkuu Mstafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia wakazi wa Butiama ambapo aliwaeleza Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.(PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-MARA).

WAZIRI Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba, ameibuka katika kampeni za mgombea urais wa CCM Dk. John Magufuli na kusema kuwa anashangazwa na hatua ya mawaziri wakuu wenzake kuhama CCM na kudai hakuna kilichofanyika katika miaka 54 ya Uhuru.

Pamoja na hali hiyo amesema anajua wazi huenda hata wanachokifanya...

 

9 years ago

Michuzi

NAWASHANGAA MAWAZIRI WAKUU WENZANGU WALIOSTAAFU,WAKIDAI CCM MIAKA 50 HAKUNA KILICHOFANYA-JAJI WARIOBA

 Waziri Mkuu Mstafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia wakazi wa Butiama ambapo aliwaeleza Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
WAZIRI Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba, ameibuka katika kampeni za mgombea urais wa CCM Dk. John Magufuli na kusema kuwa anashangazwa na hatua ya mawaziri wakuu wenzake kuhama CCM na kudai hakuna kilichofanyika katika miaka 54 ya Uhuru.
Pamoja na hali hiyo amesema anajua wazi huenda hata wanachokifanya hawajui wajibu wao walipokuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukatili wa kijinsia ukomeshwe

MASHIRIKA matano yanayojishughulisha na utetezi wa haki za kijinsia kupitia mradi wao wa GEWE II, ambao ni mpango wa kutokomeza ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanamke anayepambana na ukatili wa kijinsia

Ukiumwa na nyoka ukiona unyasi unashtuka ,ndivyo ilivyokuwa kwa Rhobi Pristiana Samwel (42)mratibu wa nyumba salama iliyo chini ya Kanisa la Anglikana Mugumu Serengeti Dayosisi ya Mara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukatili wa kijinsia jeshini ukomeshwe

Waziri wa ulinzi wa Marekani Chuck Hagel amesema wizara yake imepiga hatua katika kukomesha ukatili wa kijinsia jeshini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani