Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ruvuma, Dodoma zaongoza kutoa mawaziri

Mikoa ya Ruvuma na Dodoma imeongoza kwa kuwa na mawaziri na manaibu waziri kuliko mingine nchini katika uteuzi wa baraza la mawaziri uliofanywa na Rais John Magufuli juzi, huku akiiacha mingine bila waziri au naibu.     

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara

01

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akiwa na Rais wa Kampuni ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo wakisaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara. Makubaliano hayo yalifanyika Beijing, China tarehe 10 Januari 2015. nyuma ya Katibu Mkuu (aliyesimama) ni Waziri wa Maji Mheshimiwa Prof. Jumanne Abdallah Maghembe (Mb).

03

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akipeana mikono na Rais wa Kampuni ya China...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM leo kutoa ufafanuzi kuhusu mawaziri mizigo

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema leo kitatoa ufafanuzi kuhusu mawaziri walioshindwa kutekeleza majukumu yao lakini hawajaguswa, licha ya Rais Jakaya Kikwete kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na kuwatosa mawaziri watano.

 

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri wapya wamficha Magufuli Dodoma

Wakati wabunge wa CCM wakisubiri kwa hamu kujua nani miongoni mwao atakayeingia kwenye baraza dogo la mawaziri, Rais John Magufuli amejichimbia mjini Dodoma akichambua majina ya makada watakaounda “Serikali ya magufuli”.

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri ‘mizigo’ wazidi kukabwa koo bungeni Dodoma

Baraza la mawaziri limeendelea kuwashiwa moto bungeni, baada ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), kulitaka Bunge  kuwang’oa mawaziri walioshindwa kuwajibika.

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri, wabunge kutimuliwa kwenye nyumba TBA Dodoma

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) imefanya uamuzi mgumu wa kuwatimua baadhi ya wapangaji wa nyumba zake zilizopo mjini Dodoma ambao ni wadaiwa sugu, wakiwamo mawaziri saba na wabunge 15.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kuchapa kazi ndani ya ndege yake akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea mjini Dodoma ambapo ataongoza kikao cha baraza la Mawaziri(Picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kuchapa kazi ndani ya ndege yake akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea mjini Dodoma ambapo aliongoza kikao cha baraza la Mawaziri.(Picha na Freddy Maro)

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI, CHAMWINO, DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri leo tarehe 27 Mei 2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani