Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SABABU YA MEMBE KUTOPITISHWA TATU BORA HII HAPA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe
Majina yaliyopelekwa Nec mbali na Magufuli ni Dk. Asha-Rose Migiro, Balozi Amina Salum Ali, January Makamba na Bernard Membe.

Majina hayo yalipojulikana usiku wa Ijumaa wiki iliyopita, yaliibua taharuki mjini hapa kwa sababu miongoni mwa watu waliokuwa wanatazamwa kama wagombea wenye nguvu hawakuwako.

Hawa ni pamoja na Edward Lowassa, Profesa Mark Mwandosya, Stephen Wasira, Jaji Augustino Ramadhani na Samuel Sitta.

Wachambuzi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HII HAPA INAMHUSU YULE KIKONGWE ALIYEVUNJA HISTORIA KWA KUJIANDALIA JENEZA, HIZI HAPA SABABU ZINAZOMFANYA AJIANDAE KWA KIFO

Mkazi wa Kijiji cha Lundusi, Kata ya Peramiho, wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, Bibi Scholastica Mhagama amejiandalia jeneza lake ambalo litatumika kumzikia siku atakayoaga dunia. Bibi Scholastica Mhagama(76) ambaye amejiandalia jeneza lake litakalotumika kumzikia.Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Scholastica alisema alilitengeneza jeneza hilo zaidi ya miaka mitano iliyopita baada ya kuona anaishi kwa dhiki na anatengwa na baadhi ya watu.“Nilijitengenezea jeneza langu...

 

9 years ago

Dewji Blog

FA yamfungia michezo mitatu Schweinsteiger, sababu hii hapa

Manchester-United-Man-United-News-Man-United-Transfers-Transfer-News-Bastian-Schweinsteiger-Schweinsteiger-Man-United-Man-597414

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Chama cha Soka cha Wingereza FA imemfungia kiungo wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger (pichani) kwa michezo mitatu baada ya kumchezea vibaya mchezaji wa West Ham United, Winston Reid

Katika taarifa ya FA inasema Schweinsteiger alifanya kosa hilo katika mchezo wa jumamosi wakati timu hizo zilipokutana na kutoka sare ya bila kufungana.

FA ilisema Schweinsteiger alimpiga kwa kiwiko Reid wakati wakigombea mpira na refa wa mchezo huo, Mark Clattenburg hakuona...

 

9 years ago

GPL

SABABU YA WANANDOA VIJANA KUHAMIA KWA WAZEE HII HAPA

Asalam alaikum /Bwana Yesu asifiwe. Bila shaka mpo sawasawa. Kwa wagonjwa nawaombea kwa Mungu awape uzima tele.Leo nimeamua kuja na mada hii kwa sababu siku hizi si ajabu kusikia mwanaume f’lani anatoka na mwanamke ambaye si rika lake. Au anatoka na mwanamke wa kuweza kumzaa yeye, kwa maana ya mama. Hii si ajabu kabisa kutokea. Je, kwa hili mnadhani sababu ni nini? Wanawake wadogowadogo siku hizi hawaolewi. Na hata...

 

9 years ago

MillardAyo

List ya wachezaji 10 bora wa Marca 2015 imetoka, Cristiano Ronaldo amekuwa wa tatu kutoka mwisho, icheki hapa …

Mwaka 2015 ni umekuwa ni mwaka wa mafanikio kwa klabu ya FC Barcelona ya Hispania kwani imefanikiwa kutwaa mataji matano, FC Barcelona ambayo inatajwa kuwa ni timu namba moja kwa ubora duniani, kwa mwaka 2015 imefanikiwa kutwaa mataji ya Copa del Rey, European Super Cup, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na Klabu Bingwa Dunia, wachezaji wake sita […]

The post List ya wachezaji 10 bora wa Marca 2015 imetoka, Cristiano Ronaldo amekuwa wa tatu kutoka mwisho, icheki hapa … appeared first on...

 

9 years ago

Dewji Blog

Droo ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA yafanyika, listi kamili hii hapa

IMG_20151214_145227

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Droo ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), imefanyika katika makao makuu ya Chama cha soka Ulaya Nyon, Switzerland na mtandao wako bora wa habari, Dewjiblog.com umekuandalia listi kamili ya michezo ambayo imepangwa katika droo hiyo;

Gent – Wolfsburg

AS Roma – Real Madrid

Paris Saint-German – Chelsea

Arsenal – Barcelona

Juventus – Bayern Munich

PSV – Atletico Madrid

Benfica – Zenit

Dynamo Kyiv – Manchester City

Baada ya kufanyika kwa...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio list ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015, Cheki video hapa …

Mtu wangu wa nguvu hongera na kheri ya mwaka mpya, licha ya kuanza kwa mwaka 2016 ila mwaka 2015 ulikuwa na mambo mengi ya kukumbukwa katika kila kitu. ila mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TOP 10 ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015. Stori kutoka 101greatgoals.com hii ndio list ya magoli yenye mvuto na […]

The post Hii ndio list ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015, Cheki video hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES KUTOKA DODOMA ASUBIHI HII: TANO BORA YA WAGOMBEA URAIS WA CCM NI MEMBE, MAGUFULI, MIGIRO,MAKAMBA NA BALOZI AMINA SALUM

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari asubuhi hii nje ya Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma, akithibitisha taarifa iliyokuwa ikizagaa mitandaoni ya Wagombea Urais walioingia katika hatua ya tano bora, ambao aliwataja kuwa ni Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Mh. Bernard Membe, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani