Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sababu za wahitimu wa Tanzania kufanya vibaya katika ajira

Mwaka 1970 wakati wa hafla ya kusherehekea miaka 10 ya kuanzishwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwalimu Julius Nyerere, alibainisha kazi kuu tatu za chuo k ikuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wahitimu wa JKT wasotea ajira

Rais Jakaya KikweteUMOJA wa Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania (JKT), waliomaliza mikataba yao ya miaka miwili ya mafunzo ya kujitolea na kurejea makwao tangu mwaka 2000, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuwasaidia wapate ajira za kudumu, ili mafunzo waliyopata wayatumie kujenga nchi.

 

11 years ago

Habarileo

JWTZ kuwapatia ajira wahitimu JKT

WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inaandaa mchakato wa kuwafuatilia na kuwapatia ajira mbalimbali na mafunzo ya kujiendeleza vijana wote waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), ili wasijiingize katika vitendo vya uhalifu.

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yawahakikishia ajira wahitimu sekta ya maji

Serikali imesema kuwa ina taarifa ya wahitimu wa Taasisi ya Maendeleo ya Maji (WDMI),kukosa nafasi za ajira hivyo suala hilo limefanyiwakazi na serikali kwa kushirikiana na wadau wengine wa maji hivyo wawe na uhakika wa kuajiriwa na wasibweteke wakipata hizo fursa kwani hakutakuwa na nafasi kwa wazembe au wasiowajibika. Akizungumza wakati wa mahafali ya saba ya taasisi hiyo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi, Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mbogo Mfutakamba alisema ukosefu wa ajira kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ugumu wa kupata ajira kwa wahitimu wa Kitanzania

Huenda tukio hili likawa la aina yake nchini na hata kubaki katika kumbukumbu za watu wengi kwa sasa na miaka ijayo. Hili ni tukio la wahitimu zaidi ya 10,000 kuitwa katika usaili wa kazi wakigombea nafasi 70 zilizotangazwa na Idara ya Uhamiaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Wahitimu wa chuo cha Must wapigiwa debe la ajira

Wamiliki wa viwanda na kampuni nchini wameshauriwa kuwasiliana na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Must) kama wanahitaji mafundi mchundo na wahandisi ili waweze kuwapata vijana wenye elimu sahihi.

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Kujitolea wa Kimarekani kufanya kazi katika sekta ya elimu katika wilaya 31 nchini Tanzania

Dar es Salaam, TANZANIA.  Leo asubuhi, Balozi wa Tanzania nchini Tanzania Mark Childress amewaapisha wafanyakazi wa kujitolewa wa Kimarekani (Peace Corps Volunteers) wapatao 59 ili kuanza huduma yao ya miaka miwili nchini Tanzania. Hafla ya kuwaapisha wafanyakazi hao ilifanyika katika viwanja vya Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Ukaguzi wa Shule ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Edicome Cornel Shirima, Mkurugenzi Mkazi wa...

 

9 years ago

Michuzi

Wasichana walio katika mazingira magumu wahitimu Chuo Kukuu Huria cha Tanzania

Na erasto Ching’oro Wasichana 22 kutoka mazingira hatarishi wamehitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, ususi wa nywele na urembo katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es salaam na kutunukiwa vyeti vya umahiri na Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana ambaye alikuwa mgeni rasimi kwenye mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo (OUT) tarehe 20 Agosti, 2015. Mapema mwezi Januri, 2015 Chuo Kikuu Huria kwa ushirikiano na asasi ya ‘Nafasi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wasichana 22 waliokuwa katika mazingira magumu wahitimu Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

kkNaibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno fupi kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo hayo katika chuo Kikuu Huria cha Tanzania, jijini Dar es salaam 

Na erasto Ching’oro

 Wasichana 22 kutoka mazingira hatarishi wamehitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, ususi wa nywele na urembo katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahitimu chuo cha ufundi kwa walemavu wakosa ajira

WAHITIMU wa Chuo cha Ufundi cha watu wenye ulemavu Yombo wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kukosa ajira kutokana na mtazamo potofu wa jamii. Hayo yalibainishwa juzi jijini Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani