Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SACP SIMON SIRRO‏ - MPAKA SASA MAANDAMANO MENGI YAMEFANYIKA HAPA NCHINI

Kamishina Mwandamizi wa Jeshi la Polisi nchini (SACP) Simon Sirro akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya wiki mbili kwa makamanda wa Jeshi hilo nchini, mafunzo hayo yaliyofadhiliwa na UNDP yana lengo la kuwajengea uwezo makamanda jinsi ya kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani bila kuleta madhara makubwa kwa jamii. Kushoto ni Mtaalamu wa Uchaguzi kutoka UNDP, William Hogan na kulia ni wakufunzi kutoka Uingereza, Adrian...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

“Mpaka sasa maandamano mengi yamefanyika hapa nchini”- SACP Simon Sirro

DSC_0340

Kamishina Mwandamizi wa Jeshi la Polisi nchini (SACP) Simon Sirro akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya wiki mbili kwa makamanda wa Jeshi hilo nchini, mafunzo hayo yaliyofadhiliwa na UNDP yana lengo la kuwajengea uwezo makamanda jinsi ya kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani bila kuleta madhara makubwa kwa jamii. Kushoto ni Mtaalamu wa Uchaguzi kutoka UNDP, William Hogan  na kulia ni wakufunzi kutoka Uingereza, Adrian Barnes (kulia) na Alan Binks (wa pili kulia).

Na Mwandishi...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI‏

Mkufunzi kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma Tawi la Tanga,Hassani Juma Hassani akitoa mada wakati wa semina ya Airtel Fursa ilivyofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa YDCP mkoani Tanga. Meneja mauzo wa Airtel Mkoa wa Tanga, Aluta Kweka akizungumza na wauzaji wa bidhaa za kampuni hiyo wakati wa semina ya Airtel Fursa ilivyofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa YDCP mkoani Tanga.… ...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAENDELEA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU HAPA NCHINI‏

Meneja wa Airtel Simiyu Bw. Ezekiel Nungwi akikabidhi msaada wa vitabu vya sayansi kwa Mkuu wa wilaya ya Bariadi Bw. Erasto Sima Mkuu wa shule ya sekondari ya Bariadi Bw. Pawa Lutema akipokea msaada wa vitabu vya sayansi kutoka kwa mkuu wa wilaya Bariadi.…

 

11 years ago

Mwananchi

Maswali mengi kuliko majibu mpaka lini?

Ikifikia wakati kila uamkapo asubuhi unajikuta na maswali mengi ya kujiuliza kuhusu maisha kuliko majibu, hapana shaka kitakachofuata ni kuchanganyikiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.

Taswira ya Uwanja wa Kaitabaulivyo kwa sasa.
Nyasi bandia zikiwa zimewekwa pembeni ya Uwanja tayari kwa kutandikwa katika Uwanja huoMwakilishi kutoka shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya kukagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandi katika uwanja wa mpira wa Kaitaba Amewaomba mafundi kuongeza kasi ili ukamilike kwa muda uliopangwa. Mwakilishi huyo wa FIFA Mhandisi Kelvin Macklain, alitua Bukoba wiki iliyopita na kukagua hatua kwa hatua uwanja huo na alifika hapo kukagua hatua za mwisho...

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO TUMEIMARISHA HALI YA USALAMA KUFUATIA VURUGU ZINAZOENDELEA NCHINI MSUMBIJI


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amesema kuwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini vimejipanga vyema kuhakikisha vinadhibiti vitendo vya uhalifu hasa kutokana na vitendo vya vurugu vinavyoendelea katika nchi jirani ya Msumbiji.  
Aidha, IGP Sirro, amewataka Watanzaania hususan vijana kuacha kutumiwa na watu wachache  wanaowataka wajiingize kwenye vitendo vya uvunjifu wa amani nchini ikiwemo kufanya uhalifu.
IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na baadhi ya wakazi wa...

 

9 years ago

StarTV

Jeshi la Polisi nchini lapiga marufuku maandamano ya vyama vya Siasa nchini.

Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku ombi la maandamano la baadhi ya vyama vya siasa nchini baada ya uchunguzi wake kubaini kuwepo na mihemko ya kisiasa ndani ya jamii inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani.

Kutokana na hali hiyo, jeshi hilo linasema litaendelea kushikilia msimamo wake wa awali wa kuzuia mikutano na maandamano yeyote mpaka hali itakapotengemaa.

Kauli ya Jeshi imefatia baada ya baadhi ya vyama vya siasa kuwasilisha kuwasilisha ombi la kufanya mikutano ya hadhara na...

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA: MZEE SIMON MEMBE AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA

Familia ya Membe inasikitika kutangaza kifo cha Mzee Simon Membe (pichani) wa Rondo, Mkoani Lindi, ambaye amefariki dunia jana tarehe 3 Oktoba 2015 huko Mumbai, India alipokwenda kwa ajili ya matibabu.

Mipango ya mazishi inafanywa Dar es Salaam  nyumbani kwa kaka wa Marehemu Mhe Bernard Membe (Mb) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatatu mchana tarehe 5 Oktoba 2015 saa 9 alasiri.

Ibada na heshima za mwisho ‎kwa Dar es...

 

11 years ago

Vijimambo

SIMON NA ANGIE WAMEREMETA WINSTON SALEM, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI

Simon na Angie wakiwa kwenye ndoa yao iliyofungwa Jumamosi Oct 25, 2014 mjini Winston Salem jimbo la North Carolina nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki.Simon akimchum kwa mara ya kwanza Angie kama mke wake. Wapambe wa bwana harusi. Wapambe wa bibi harusi Madhari nzuri inavyoonekana wakati ndoa ikiendelea. Wageni waalikwa wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki.kushoto ni wazazi wa Angie Mr & Mrs Chesebro wakiwa pamoja na kaka zake AngiePastor Er Groover akiwafungisha ndoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani