Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sadiki alia na wezi wa maji Dar

KATIKA kuelekea kilele cha maadhimisho  ya siku ya maji Duniani, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki amesema Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka inatarajia kuanza kuzalisha maji kiasi cha lita 710milioni zaidi ya mahitaji ya sasa ambayo ni lita 450milioni ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI, MAKALLA AWANASA WEZI WA MAJI DAR NA KUTANGAZA KUFILISI MALI ZAO.


Meneja Mkuu wa Kampuni ya ufyatuaji matofali ya Ujenzi Solutions, ya Kimara kwa Msuguri, Dar es Salaam, Rahim Hamis na mfanyabiashara wa kampuni isiyo na jina, Credo Rajab (kulia) wakiwa chini ya uliznzi wa Polisi huku wakiwa wamevishwa pingu baada Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla kuamuru kuwakamata alipokagua viwanda vyao vya ufyatuaji na kugundulika kuwa wanatumia maji isivyo halali kwa kujiunganishia kwenye bomba kuu la Mamlaka ya Maji Safi na Taka Dar  ws Salaam (DAWASA). ...

 

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI(MUWSA) YAKAMATA WEZI WA MAJI

Watumishi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,wakiwa katika nyumba moja ambayo inadaiwa mmiliki wake alikuwa akiiba maji baada ya kujiunganishia kinyemera licha ya kukatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu.Wafanyakazi hao wakiongozwa na afisa uhusiano wa mamlaka hiyo ,Frolah Nguma na mkuu wa kanda ya Rau ,Selemani Zabron na fundi Aminiel Swai baada ya kufuatilia katika eneo hilo walibaini wapi wizi wa maji unafanyika.Hivi ndivyo ilivyooonekana katika mauongio ya mteja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wezi wa maji kukiona

SERIKALI imeimarisha mapambano dhidi ya watu wanaotumia maji bila kufuata taratibu na sheria na kusababisha upungufu kwa watumiaji wengine na hasara kubwa ya mapato. Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Wizara...

 

9 years ago

IPPmedia

Dar es Salaam Regional Commissioner Said Meck Sadiki


IPPmedia
Dar es Salaam Regional Commissioner Said Meck Sadiki
IPPmedia
A total of 681 people with residences in Dar es Salaam's Msimbazi valley found reason to heave sighs of relief yesterday after the High Court (Land Division) ordered the demolition of their houses suspended pending the hearing of their petition ...
New classrooms ready soonDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)

all 3

 

11 years ago

Michuzi

MANAWASA yalia na wezi wa mita za maji Masasi

Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira masasi-Nachingwea (MANAWASA) inatoa taarifa ya kusikitishwa kwake kutokana na matukio yasiyo ya kiustaharabu yanayoendelea hivi sasa ya wizi wa "MITA ZA MAJI" zilizofungwa na wateja kwenye maeneo wanayoishi ambapo mpaka sasa tayari mita 7 zimeshaibiwa na watu wasiojulikana kwenye mitaa ya MKUTI, JIDA pamoja na REST CAMP.
hivyo Mamlaka ya MANAWASA inawaomba wakazi wote wa mji wa masasi wenye nia njema na huduma hii muhimu kwa wananchi kutoa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Shekifu alia na tatizo la maji


 MBUNGE wa Lushoto (CCM), Henry Shekifu, amelalamikia tatizo la maji mkoa wa Tanga na kuilaumu serikali kwa kutoa ahadi za mara kwa mara huku ikishindwa kuzitekeleza.
Akiuliza swali bungeni mjini hapa jana, Shekifu alisema kwa muda mrefu serikali iliahidi kupeleka maji katika wilaya ya Muheza lakini haijatimiza.
Aidha, Shekifu alitaka kuhakikishiwa kama kuna fungu lolote lililotengwa kwa ajili ya utekelezaji miradi ya maji katika wilaya hiyo kwenye bajeti ya mwaka huu wa fedha.
“Serikali...

 

11 years ago

Habarileo

Wezi waiba nyaya Zawa, uzalishaji maji wasimama

WATU wasiojulikana wameiba nyaya zenye madini ya shaba katika visima vya kusambaza maji vya Mamlaka ya Majisafi na salama Zanzibar ((Zawa).

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAKALA AWATAKA WANANCHI KUWAFICHUA WEZI WA MAJI

Naibu Waziri wa Maji,Mh Amos Makala amewataka wananchi wa Mkoa wa Arusha kuendelea kuwafichua wale wote wanaoshiriki katika wizi wa maji ili waweze kuchukuliwa hatua kali za kisheria.Alitoa wito huo jana wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi jijini hapa kwa lengo la kutembelea miradi ya maji iliyokuwa na changamoto kubwa ya upotevu wa maji inayosababishwa na uchakavu wa miundombinu na wizi wa maji
Waziri Makala alisema kuwa serikali inafanya jitihada ya kuboresha huduma ya maji...

 

10 years ago

Vijimambo

DC SAIDI MECK SADIKI AZUNGUMUZA NA WATENDAJI WAGANGA WAKUU MKOANI DAR ES SALAAM

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Meck Sadiki akizungumza na watendaji , waganga wakuu wa wilaya na mkoa wa mkoa wa Dar es salaam leo wakati akizindua Mpango Kazi wa kuharakisha kupunguza vifo vya akina mama na watoto walio chini ya miaka 5 kwa mkoa wa Dar es salaam.Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akizungumza na watendaji , waganga wakuu wa wilaya na mkoa wa Dar es salaam leo kueleza nafasi yake katika kusimamia utekelezaji wa wakati Mpango Kazi wa kuharakisha kupunguza vifo vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani