MANAWASA yalia na wezi wa mita za maji Masasi
![](http://4.bp.blogspot.com/-MGNw72Z0tIs/U1oMdqIrr0I/AAAAAAAFc8o/i1ftT1RhpiM/s72-c/unnamed+(29).jpg)
Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira masasi-Nachingwea (MANAWASA) inatoa taarifa ya kusikitishwa kwake kutokana na matukio yasiyo ya kiustaharabu yanayoendelea hivi sasa ya wizi wa "MITA ZA MAJI" zilizofungwa na wateja kwenye maeneo wanayoishi ambapo mpaka sasa tayari mita 7 zimeshaibiwa na watu wasiojulikana kwenye mitaa ya MKUTI, JIDA pamoja na REST CAMP.
hivyo Mamlaka ya MANAWASA inawaomba wakazi wote wa mji wa masasi wenye nia njema na huduma hii muhimu kwa wananchi kutoa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI(MUWSA) YAKAMATA WEZI WA MAJI
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAJI, MAKALLA AWANASA WEZI WA MAJI DAR NA KUTANGAZA KUFILISI MALI ZAO.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya ufyatuaji matofali ya Ujenzi Solutions, ya Kimara kwa Msuguri, Dar es Salaam, Rahim Hamis na mfanyabiashara wa kampuni isiyo na jina, Credo Rajab (kulia) wakiwa chini ya uliznzi wa Polisi huku wakiwa wamevishwa pingu baada Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla kuamuru kuwakamata alipokagua viwanda vyao vya ufyatuaji na kugundulika kuwa wanatumia maji isivyo halali kwa kujiunganishia kwenye bomba kuu la Mamlaka ya Maji Safi na Taka Dar ws Salaam (DAWASA). ...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_7xl9xKq7eg/VOR2q2j0BCI/AAAAAAAHEWQ/M0bu9TnM9FI/s72-c/unnamedz.jpg)
DAWASCO YALIA NA WAHUJUMU WA MIUNDOMBINU YA MAJI JIJINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-_7xl9xKq7eg/VOR2q2j0BCI/AAAAAAAHEWQ/M0bu9TnM9FI/s1600/unnamedz.jpg)
Vyuma Chakavu hivyo ambavyo ni mifuniko ya chemba za Majitaka za DAWASCO zimebainika baada ya uchunguzi wa kina na taarifa kutoka kwa wasamaria wema kuhusu upatikanaji wa mifuniko hiyo kiwandani hapo.
Afisa Uhusiano...
10 years ago
Habarileo07 Sep
Kondoa wafikishiwa mita 1,000 za maji
ILI kuifanya miradi ya maji Kondoa Mjini iwe endelevu zaidi ya mita za maji 1,000 zimepelekwa Kondoa ili kuwafungia wateja wa maji mjini humo.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Wezi wa maji kukiona
SERIKALI imeimarisha mapambano dhidi ya watu wanaotumia maji bila kufuata taratibu na sheria na kusababisha upungufu kwa watumiaji wengine na hasara kubwa ya mapato. Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Wizara...
11 years ago
Mwananchi28 Jul
KERO YA MAJI: JK atimiza ahadi Masasi, Nachingwea
11 years ago
Habarileo26 Jul
Mradi mkubwa wa maji Masasi -Nachingwea wazinduliwa
KERO ya miaka mingi ya uhaba mkubwa wa maji kwa wakazi wa miji ya Masasi, mkoani Mtwara na Nachingwea, mkoani Lindi, hatimaye imemalizika baada ya kuzinduliwa kwa mradi mkubwa ambao unatoa huduma ya maji kwa wakazi wa miji hiyo.
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Sadiki alia na wezi wa maji Dar
11 years ago
Habarileo02 Aug
Wezi waiba nyaya Zawa, uzalishaji maji wasimama
WATU wasiojulikana wameiba nyaya zenye madini ya shaba katika visima vya kusambaza maji vya Mamlaka ya Majisafi na salama Zanzibar ((Zawa).