Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kondoa wafikishiwa mita 1,000 za maji

ILI kuifanya miradi ya maji Kondoa Mjini iwe endelevu zaidi ya mita za maji 1,000 zimepelekwa Kondoa ili kuwafungia wateja wa maji mjini humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kenya yashinda dhahabu mita 3,000 na 10,000

Mwanariadha wa Kenya Ezekiel Kemboi ameshinda medali ya nne mfululizo katika mashindano ya dunia mjini Bejjing baada ya kuwaongoza Wakenya wenzake kushinda nafasi za kwanza nne bora.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KWADELO WILAYA YA KONDOA

 Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi kisma cha bomba la maji katika kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa Machi 20, 2014 sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma (kulia kwake), Mbunge wa Jimbo la Kaskazini Kondoa Mhe: Zabeini Mhita. kauli mbiu ni uhakika wa maji na nishati.  Profesa.Jumanne Maghembe akipanda mti baada ya kuzindua mradi wa maji.  Waziri wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waethiopia na Wakenya wafuzu mita 5,000

Wanariadha 3 wa Ethiopia pamoja na wengine 3 wa Kenya wamefuzu katika fainali ya mbio za mita 5000 siku ya jumamosi mjini Beijing.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yatakiwa kupeleka maboza ya maji Kondoa

MBUNGE wa Viti Maalum, Moza Abeid (CUF), ameitaka serikali kufanya haraka kuwapelekea maboza ya maji wananchi wa Mji Mdogo wa Kondoa wakati wakishughulikia mashine za kusukuma maji katika mji huo....

 

11 years ago

Michuzi

MANAWASA yalia na wezi wa mita za maji Masasi

Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira masasi-Nachingwea (MANAWASA) inatoa taarifa ya kusikitishwa kwake kutokana na matukio yasiyo ya kiustaharabu yanayoendelea hivi sasa ya wizi wa "MITA ZA MAJI" zilizofungwa na wateja kwenye maeneo wanayoishi ambapo mpaka sasa tayari mita 7 zimeshaibiwa na watu wasiojulikana kwenye mitaa ya MKUTI, JIDA pamoja na REST CAMP.
hivyo Mamlaka ya MANAWASA inawaomba wakazi wote wa mji wa masasi wenye nia njema na huduma hii muhimu kwa wananchi kutoa...

 

10 years ago

Michuzi

TIPER kuongeza uwezo wa kuhifadhi mafuta kufikia mita za ujazo 213,000

 Mafundi wa kampuni ya kuhifadhi mafuta ya Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER), wakitengeneza paa katika moja ya matanki mapya ya kampuni hiyo, wakati kampuni hiyo ikitaraji kuongeza uwezo wa kuhifadhi mafuta maradufu baada ya kukamirika kwa ukarabati wa matanki yake wawili ya mita za ujazo 36,600 kila moja ifikapo machi mwaka huu.Miongoni mwa matanki ya kampuni ya ya kuhifadhi mafuta ya Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER) yanayofanyiwa ...

 

10 years ago

Mwananchi

MTERA, KONDOA KASKAZINI NA KONDOA KUSINI : UKAWA IJIFUNGE MKANDA

Jumatano iliyopita tuliangazia majimbo ya Dodoma Mjini, Bahi na Chilonwa. Leo tunaendelea kuchambua majimbo ya Mkoa wa Dodoma tukijikita kwenye majimbo ya Mtera, Kondoa Kaskazini na Kondoa Kusini. 

 

9 years ago

Michuzi

Wananchi watakiwa kuwa nje ya mita 60 kutoka vyanzo vya maji vinavyopeleka Mtera

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akizungumza na wananchi katika kijiji cha Chimwenga wilaya ya Mbeya vijijini ambapo Naibu Waziri aliwaeleza wananchi hao umuhimu wa kukaa mbali na vyanzo vya maji ili kutoviharibu na kusababisha upungufu wa maji unaopelekea bwawa la uzalishaji umeme la Mtera kukauka.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa wakiwa katika kijiji cha Makwenji wilaya ya Mbeya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani