Safari Lagar all Africa Pool Championship final
![](http://4.bp.blogspot.com/-u3rP6QKTxbk/VEH4swq-B7I/AAAAAAAGrZM/BdCFLLTyuKc/s72-c/IMG-20141018-WA0001.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-99R1hyG4tho/U4RgrlKJ-OI/AAAAAAAFlcs/nHVuC0s_sNs/s72-c/MMGN8850.jpg)
Mashindano ya Mchezo wa Safari Lager National Pool Championship 2014 yazinduliwa leo jijini Dar
MASHINDANO ya mchezo wa pool ya ‘Safari Lager National Pool Championship 2014’, ngazi ya mikoa yanatarajia kuanza Juni 14, mwaka huu katika mikoa 18 ya Tanzania Bara.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam leo, Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo huo Taifa (TAPA), Amosi Kafwinga amesema mashindano hayo ambayo kwa ngazi ya taifa yatamalizika mwezi Septemba 14, mwaka huu.
Kafwinga amesema fainali za taifa za mashindano hayo yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania(TBL)...

10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-NQOiUzb2tLs/U_uDbpAHh-I/AAAAAAAGCWM/SqyCRTxTwds/s72-c/unnamedA.jpg)
Temeke,Dodoma zapata mabingwa wa Safari Pool
FAINALI za mashindano ya Safari Pool Taifa yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014”, mkoa wa kimichezo wa Temeke jijini Dar es Saalaam na Dodoma zimefanikiwa kupata mabingwa wa mikoa mwishoni mwa wiki.
Mkoa wa kimichezo wa Temeke mabingwa ni klabu ya Mpo Afrika walifanikiwa kutetea ubingwa wao wa mwaka jana wakati mkoani Dodoma Klabu ya Delux ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa mkoa huo.
Klabu ya Mpo Afrika na Delux kwa kutwaa ubingwa huo zilizawadiwa pesa taslimu...

MichuziTopland Kinondoni mabingwa Safari Pool 2014
KLABU ya Topland ya Mkoa wa Kimichezo wa Kinondoni yenye makazi Magomeni jijini Dar es Slaaam imefanikiwa kutetea ubingwa wa ke wa fainali za mashindano ya Safari Pool Taifa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Mkoani Kilimanjaro kwa kuifunga timu ya Anatory ya Mkoani Morogoro 13-3.
Timu ya Topland kwa kutwaa ubingwa huo ilizawadiwa Kikombe,Medali za dhahabu na pesa taslimu Shilingi 5,000 000/= wakati mshindi wa pili Anatory ya Morogoro walizawadiwa pesa taslimu Shilingi 2,500 000/= ...

GPLTEMEKE, DODOMA ZAPATA MABINGWA WA SAFARI POOL
Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (wa pili kulia), akimkabidhi kombe la ubingwa nahodha wa Mpo Afrika, Charles Venance. Kulia ni Katibu wa Chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga, na kocha wa timu ya Taifa, Denis Rungu. Baadhi ya wachezaji wa Mpo Afrika na mashabiki wakishangilia na kombe waliloshinda. KATIKA mchakato wa fainali… ...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xH13JlXcT78/U-lAMGoVSbI/AAAAAAAF-xk/5zKvaOwG434/s72-c/unnamed..jpg)
Top Land Mabingwa Safari Pool Kinondoni
MABINGWA watetezi klabu ya mchezo wa Pool ya Top Land ya Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni jijini Dar es Salaam imemefanikiwa kutetea Ubingwa wake katika fainali za mashindano ya mchezo huo yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014” kwa kuwafunga timu ya klabu ya Meeda 13-5, yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Mkoani humo na kuzawadiwa pesa taslimu Shilingi 800,000/ = pamoja na tiketi ya kuwakilisha Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni kwenye fainali za kitaifa zinazotarajiwa...
11 years ago
MichuziRUCCO Iringa mabingwa wa Taifa Safari Pool 2014
Na Mwandishi Wetu.Moshi
CHUO cha RUCCO cha mkoani Iringa kimefanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya mchezo wa Pool Taifa yaliyoyoshirikisha mabingwa wa Vyuo vya Elimu ya juu kutoka mkoa minane yajulikanayo kama “Safari Pool Higher Learning Competition 2014” mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Aventure Moshi -Kilimanjaro.
RUCCO ilifanikiwa kupata ubingwa huo kwa kukifunga chuo cha St. John cha Dodoma 13-12, na hivyo kuzawadiwa kikombe na fedha taslimu Shilingi 2,500,000/= Nafasi ya pili...

Tanzania Daima09 Sep
TBL yaanika zawadi Safari Lager Pool Taifa
KAMPUNI ya Bia Tanzania(TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager, jana ilitangaza rasmi zawadi za mashindano ya Pool ngazi ya Taifa ‘Safari Lager National Pool Compionship- 2014- Kilimanjaro.” Meneja wa...
10 years ago
GPLMOROGORO, IRINGA, MBEYA WAPATA MABINGWA WA SAFARI POOL
Mweka hazina wa chama cha pool taifa (TAPA), Zaholo Ligalu (kushoto), akimkabidhi nahodha wa klabu ya Anatori ya Morogoro Shilingi 800/000/= baada ya kuibuka mabingwa. Baadhi ya wachezaji wa pool wa klabu ya Anatory ya Morogoro wakishangilia fedha za ushindi. KLABU za Anatory ya Morogoro, Ngija Masters ya Iringa na Break Point ya Mbeya… ...
11 years ago
MichuziBlue Leaf Mabingwa Safari Pool mkoa wa Lindi
KLABU ya mchezo wa Pool ya Blue Leaf Mkoani Lindi imemefanikiwa kutwaa Ubingwa wa fainali za mashindano ya mchezo huo yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014” uliomalizikamwishoni mwa wiki Mkoani humo na kuzawadiwa pesa taslimu Shilingi 800,000/= pamoja na tiketi ya kuwakilisha Mkoa wa Lindi kwenye fainali za zinazotarajiwa kufanyika Mkoani Kilimanjaro.
Nafasi ya pili ilichukuliwa na Bwalo la Polisi Pool Klabu na kuzawadiwa fedha taslimu Shilingi 400,000/= na...
Nafasi ya pili ilichukuliwa na Bwalo la Polisi Pool Klabu na kuzawadiwa fedha taslimu Shilingi 400,000/= na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania