Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAID EL MAAMRY: Awachambua Tenga, Malinzi

Unapotaja historia ya soka katika Tanzania, yatatajwa majina mbalimbali likiwamo la Said Hamad El Maamry, mmoja wa watu wenye historia ndefu katika soka ya Tanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

El Maamry hakupenda Tenga ang’atuke

Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT) Said El Maamry amesema alipenda rais aliyemaliza muda wake TFF, Leodegar Tenga kuendelea kuongoza shirikisho hilo kwa vile alilifikisha mbali.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AMSHUKURU LEODGER TENGA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi amemshukuru Rais wa CECAFA, Leodgar Tenga kwa kuipa Tanzania uenyeji wa mashindano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) iliyomalizika jana kwa klabu ya Azam FC kutawazwa Mabingwa wapya wa michuano hiyo.
Aidha Malinzi ameishukuru Kamati ya Ndani ya Uendeshaji ya Michuano hiyo (LOC) kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuandaa na kuhakikisha michuano hiyo inafanyika na kumalizika katika hali ya usalama na amani. ...

 

10 years ago

Vijimambo

ANKO TENGA, TAFADHARI RUDI, KAKA MALINZI AMEFELI

Na Saleh AllyUSISHANGAZWE nami kuamua kujaribu kumshawishi aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Chilla Tenga arejee tena ili kusaidia kuyatoa kwenye matope magurudumu ya shirikisho hilo.TFF imekwama, rais wake Jamal Emily Malinzi, amefeli na hali inaonyesha wazi kuwa tuendako kuna hatari zaidi ya kutumbukia kabisa shimoni.Kuna mengi ya kuonyesha kwamba Malinzi amefeli na kwa kuwa watu wanaona haya kuelezana ukweli, wanachukia kukosolewa, huenda kilichofanywa na TFF...

 

11 years ago

Michuzi

Malinzi Ajitambulisha Rasmi Kwa Rais wa CAF, Issa Hayatou Jijini Cairo,Misri Akisindikizwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF Leodegar Tenga

 Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akimkabidhi zawadi Rais wa CAF, Issa Hayatou Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akiwa na Rais wa CAF, Issa Hayatou na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF, Leodegar Tenga Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. --- Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemwahidi ushirikiano Rais waShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi. Ahadi hiyo imetolewa juzi (Februari 21 mwaka huu) makao makuu ya...

 

11 years ago

Michuzi

El-Maamry afunga ARS ngazi ya taifa

 Mkurungenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano akitoa hutuba yake wakati wa ufunguzi wa Airtel Rising Stars ngazi ya taifa uwanja wa Karume jana.  Mjumbe wa heshima wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) Said El-Maamry akisalimiana na wachezaji wakati wa ufunguzi wa Airtel Rising Stars ngazi ya taifa uwanja wa Karume jana. 
 Mshambuliaji wa timu ya wasichana ya Amina Ally (jezi nyekundi) akichuana vikali na mlinzi wa Zanzibar Sarah Hashimi katika mchezo wa mashindano ya...

 

11 years ago

Mwananchi

James Mbatia awachambua wasomi, wanaCCM, hoja za Muungano

 Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, James Mbatia, jana amewashambua wajumbe waliowengi bungeni na wasomi, kwa kulipotosha taifa katika mchakato wa kupata Katiba Mpya kutokana na kutumia takwimu na taarifa zisizo sahihi na kufanya propaganda katika suala la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani