Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANKO TENGA, TAFADHARI RUDI, KAKA MALINZI AMEFELI

Na Saleh AllyUSISHANGAZWE nami kuamua kujaribu kumshawishi aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Chilla Tenga arejee tena ili kusaidia kuyatoa kwenye matope magurudumu ya shirikisho hilo.TFF imekwama, rais wake Jamal Emily Malinzi, amefeli na hali inaonyesha wazi kuwa tuendako kuna hatari zaidi ya kutumbukia kabisa shimoni.Kuna mengi ya kuonyesha kwamba Malinzi amefeli na kwa kuwa watu wanaona haya kuelezana ukweli, wanachukia kukosolewa, huenda kilichofanywa na TFF...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

SAID EL MAAMRY: Awachambua Tenga, Malinzi

Unapotaja historia ya soka katika Tanzania, yatatajwa majina mbalimbali likiwamo la Said Hamad El Maamry, mmoja wa watu wenye historia ndefu katika soka ya Tanzania.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AMSHUKURU LEODGER TENGA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi amemshukuru Rais wa CECAFA, Leodgar Tenga kwa kuipa Tanzania uenyeji wa mashindano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) iliyomalizika jana kwa klabu ya Azam FC kutawazwa Mabingwa wapya wa michuano hiyo.
Aidha Malinzi ameishukuru Kamati ya Ndani ya Uendeshaji ya Michuano hiyo (LOC) kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuandaa na kuhakikisha michuano hiyo inafanyika na kumalizika katika hali ya usalama na amani. ...

 

11 years ago

Michuzi

Malinzi Ajitambulisha Rasmi Kwa Rais wa CAF, Issa Hayatou Jijini Cairo,Misri Akisindikizwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF Leodegar Tenga

 Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akimkabidhi zawadi Rais wa CAF, Issa Hayatou Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akiwa na Rais wa CAF, Issa Hayatou na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF, Leodegar Tenga Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. --- Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemwahidi ushirikiano Rais waShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi. Ahadi hiyo imetolewa juzi (Februari 21 mwaka huu) makao makuu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

ANKO ANASWA GESTI NA MTOTO WA DADAKE

Gabriel Ng’osha Tap! Jamaa mmoja, mkazi wa Gongo la Mboto-Mzambarauni jijini Dar ambaye jina lake halikufahamika amewekewa mtego wa nguvu kisha kunaswa akiwa katika harakati za kutaka kujivinjari na binti wa miaka 14, ambaye ni mtoto wa dada yake wa tumbo moja (jina linahifadhiwa). Binti anayesadikiwa kurubuniwa na anko yake. MCHAPO KAMILI Kwa mujibu wa chanzo chetu, tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Filamu ya “Anko Kiepe” Imeingia Leo Sokoni

Filamu kali na ya kusisimua ya Anko Kiepe  imeingia sokono leo tarehe 11 na imesambazwa nchi nzima hivi karibuni akiongelea filamu hiyo mungozaji na mtunzi wa filamu hiyo Phelimon Lutwaza anasema kuwa ni kazi ya kipekee na anaonyesha uwezo wake kwa kufanya maajabu makubwa.

“Anko Kiepe inakuja kufanya mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu Bongo Movie nimefanya mambo makubwa sana katika sinema hii kiuigizaji shutingi na wasanii wameitendea haki sinema hii, pia nimeiongoza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani