Saidi Fella Achukua Fomu ya kugombea Udiwani Kilungule.
Kiongozi wa Kundi la TMK wanaume na mkurugenzi wa kituo cha mkubwa na wanawe, Saidi Fella leo amechukua fomu ya kuomba kugombea udiwani katika kata yake ya Kilungule Temeke,Katibu wa Siasa na Uwenezi kata ya Kilungule, Juma ally kilindo Akimkabidhi fomu ya Kuomba kugombea udiwa Saidi Fella.
Saidi Fella ameamua kuchukua fomu hiyo na kugomea nafasi hiyo ili aweze kutatua kero za wakazi wa kata ya Kilungule na kuleta maendeleo katika Kata hiyo.
"Nimeamua kuchukua nafasi hii ili kutatua kero...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSAIDI FELLA ALA KIAPO CHA UDIWANI KATA YA KILUNGULE.
Mkurugenzi wa Kituo cha Mkubwa na Wanawe Said Hassan maarufu kwa jina la Mkubwa Fella leo amekula kiapo cha kuwatumikia wakazi wa Kata y Kilungule kwa ngazi ya Udiwani. Baada ya kula kiapo hicho Fella alikua na haya ya kuzungumza "Kwanza nashukuru Mungu pili Wadau wangu wotekwa Kata yetu ya Kilungule, na Tasnia yetu ya sanaa nawashukuru wasanii wote walio nisapot pia namshukuru sana rafiki wetu wa wasanii Mh Jakaya Kikwete na Rafiki yangu January Makamba".
9 years ago
VijimamboKALAPINA WA KIKOSI CHA MIZINGA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UDIWANI KATA YA KINONDONI KWA TIKETI ACT WAZALENDO
Msanii wa muziki wa Rap toka Kikosi cha Mizinga, Karama Masoud aka Kalapina (kushoto) akipokea fomu za kugombea udiwani kata ya Kinondoni kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo toka kwa msimamizi msaidizi wa uchaguzi Bibi Ikunda Lyimo siku ya Ijumaa jioni. Kala Pina aligombea udiwani kwa tiketi ya chama cha CUF katika uchaguzi wa mwaka 2010 ambapo alishindwa na mgombea wa CCM. Hapa akiwasili katika ofisi za mtendaji wa kata ya Kinondoni katika usafiri wa pikpiki. Akiwa ameambatana na wapambe...
10 years ago
MichuziKiongozi wa Kundi la TMK wanaume kugombea udiwani kata yake ya Kilungule, wilayani Temeke
10 years ago
GPLMSANII CHADEMA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI PUGU
10 years ago
Dewji Blog19 Jul
Mwanahabari achukua fomu za udiwani kata ya Kipawa jijini Dar
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Emmanuel Barnabas Maro, anayewania kuteuliwa na chama chake kugombea nafasi ya udiwani katika kata ya Kipawa wilayani Ilala jijini Dar es Salaam akionyesha fomu alizokabidhiwa na Katibu kata ya Kipawa Amina Sebo.
10 years ago
MichuziMDAU EMMA BARNABAS ACHUKUA FOMU KUWANIA UDIWANI KATA YA KIPAWA
9 years ago
Michuzi14 Aug
MREMA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE
……………………………………………………………………………….. MGOMBEA ubunge jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama cha TLP ,Agustino Lyatonga Mrema ametamba kuwa jimbo hilo ni mali yake na hayuko tayari kuona likichukuliwa na manyang’au aliodai wa Ukawa. Mrema alitoa kauli hiyo...
10 years ago
VijimamboMH.WASSIRA ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS 2015
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira akiwasili ukumbini katika mkutano na Waandishi wa Habari .
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira akisaini wakati wa kuchukua fomu ya kugombea urais paembeni ni mke wake.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen...
9 years ago
MichuziDK.SHEIN ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti...