Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSANII CHADEMA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI PUGU

Kapili akizungumza jambo na mke wake. Baadhi ya ‘mapikipiki’ yaliyompa sapoti Kapili. Akizungumza na mwenyekiti wa tawi la Chadema,  Gongo la Mboto, Sweya Rajabu, kabla ya kuchukua fomu.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Saidi Fella Achukua Fomu ya kugombea Udiwani Kilungule.

Kiongozi wa Kundi la TMK wanaume na mkurugenzi wa kituo cha mkubwa na wanawe, Saidi Fella leo amechukua fomu ya kuomba kugombea udiwani katika kata yake ya Kilungule Temeke,Katibu wa Siasa na Uwenezi kata ya Kilungule, Juma ally kilindo Akimkabidhi fomu ya Kuomba kugombea udiwa Saidi Fella.
Saidi Fella ameamua kuchukua fomu hiyo na kugomea nafasi hiyo ili aweze kutatua kero za wakazi wa kata ya Kilungule na kuleta maendeleo katika Kata hiyo.
"Nimeamua kuchukua nafasi hii ili kutatua kero...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanahabari achukua fomu za udiwani kata ya Kipawa jijini Dar

Kada wa Chama cha Mapinduzi, Emmanuel Barnabas Maro, anayewania kuteuliwa na chama chake kugombea  nafasi ya udiwani katika kata ya Kipawa wilayani Ilala jijini Dar es Salaam akionyesha fomu alizokabidhiwa na Katibu kata ya Kipawa Amina Sebo.

 

10 years ago

Michuzi

MDAU EMMA BARNABAS ACHUKUA FOMU KUWANIA UDIWANI KATA YA KIPAWA

 Kada wa chama cha mapinduzi Emmanuel Barnabas Maro anayewania kuteuliwa na chama chake kugombea nafasi ya udiwani katika kata ya Kipawa wilayani Ilala jijini Dar akionesha fomu alizokabidhiwa leo na Katibu wa CCM wa kata ya Kipawa Amina Sebo hayupo pichani.

 

9 years ago

Vijimambo

KALAPINA WA KIKOSI CHA MIZINGA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UDIWANI KATA YA KINONDONI KWA TIKETI ACT WAZALENDO


Msanii wa muziki  wa Rap toka Kikosi cha Mizinga, Karama Masoud aka Kalapina (kushoto) akipokea fomu za kugombea udiwani kata ya Kinondoni kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo toka kwa msimamizi msaidizi wa uchaguzi Bibi Ikunda Lyimo siku ya Ijumaa jioni. Kala Pina aligombea udiwani kwa tiketi ya chama cha CUF katika uchaguzi wa mwaka 2010 ambapo alishindwa na mgombea wa CCM. Hapa akiwasili katika ofisi za mtendaji wa kata ya Kinondoni katika usafiri wa pikpiki. Akiwa ameambatana na wapambe...

 

10 years ago

Habarileo

Chadema yapangua ratiba fomu za ubunge, udiwani

Dk Willbrod SlaaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelazimika kupangua ratiba ya awali ya uchukuaji fomu za ubunge na udiwani kwa wanachama wake, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza majimbo mapya 26 ya uchaguzi hivi karibuni.

 

10 years ago

Dewji Blog

Chadema Moshi vijijini warudisha fomu za kuwania ubunge na udiwani

Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Moshi vijijini,Godlisen Maramia akipokea fomu kutoka kwa Deogratius Mushi ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi vijijini wakati aliporudisha katika ofisi za chama hicho zilizopo Majengo. Mwenyekiti wa Chadema jimbo la Moshi vijijini ,Godlisen Maramia akimpongeza mtia nia Deuogratius Mushi kwa uamuzi wa kuingia katika kinya’ng’anyiri cha kuwania nafasi hiyo. Mushi akipongezwa na makada wengine wa Chadema waliofika kumsindikiza ofisnini hapo.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA ACHUKUA FOMU YA URAIS CHADEMA

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akiwa katika meza kuu ya Chadema. WAZIRI MKUU wa zamani, Mhe. Edward Lowassa hivi punde amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Lowassa amekabidhiwa fomu hiyo na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama hicho yaliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Lowassa alijiunga rasmi na Chadema juzi akitokea...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa achukua fomu ya kuwania urais kupitia Chadema

>Kada mpya wa Chadema, Edward Lowassa jana alichukua tena fomu ya kuwania urais lakini safari hii si kwa tiketi ya CCM, katika hafla ambayo ilishuhudiwa na umati mkubwa wa watu uliosababisha Mtaa wa Ufipa kufungwa kwa saa tatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani