Sakata la dawa za kulevya hatma ya Chid Benz kujulikana kesho
Siku mbili baada ya kukamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K Nyerere akiwa na vitu vinavyodhaniwa ni dawa za kulevya, Mwanahiphop Rashid Makwiro maarufu Chid Benz, anatarajiwa kufikishwa mahakamani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Oct
Chid Benz anaswa na dawa za kulevya ‘airport’
>Msanii wa muziki wa Hiphop nchini Rashid Makwiro maarufu ‘Chid Benz’, jana alasiri alikamatwa na dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Bongo527 Oct
Nzowa asema dawa za kulevya alizokamatwa nazo Chid Benz ni Heroine
Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Godfrey Nzowa amesema dawa za kulevya alizokamatwa nazo rapper Rashidi Abdallah Makwiro a.k.a Chidi Benz katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Ijumaa iliyopita (Oct. 24) ni aina ya Heroine. “Alikuwa na dawa Heroine kete 14″, amethibitisha Nzowa kupitia 255 ya […]
5 years ago
CCM BlogCHID BENZ AKEMEA WANAOFANYA MZAHA MITANDAONI KUHUSU UGONJWA WA CORONA, ASEMA AMEACHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA, ANAJIANDAA KURUDI KWENYE 'GEMU'
Na Anitha Jonas – WHUSM
Mwanamuziki ambaye ni miongoni mwa wanamuziki waasisi wa muziki wa Bongofleva hapa nchini, Rashid Abdallah (Chid...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-A9uJIbBx6uY/VE-OUmDkYoI/AAAAAAAGtz4/uGipieSRuz8/s72-c/Chid%2BBeenz_full.jpg)
CHID BENZ APANDISHWA KIZIMBANI JIJINI DAR LEO KWA SHITAKA LA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA,AKOSA DHAMANA, KESI YAKE KUTAJWA TENA NOVEMBA 11
![](http://3.bp.blogspot.com/-A9uJIbBx6uY/VE-OUmDkYoI/AAAAAAAGtz4/uGipieSRuz8/s1600/Chid%2BBeenz_full.jpg)
Chid Benz amefikishwa mapema leo saa 3:00 asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusomewa mashitaka yake. Saa 7:50 mchana alifikishwa mbele ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
SAKATA LA CHID BENZ KUTAKA KUMUUA DEMU
Msanii wa Hip Hop anayetokea Ilala, Rashid Makwiro 'Chid Benz' anadaiwa kumpa kipigo kizito mpenzi wake wa zamani aliyefahamika kwa jina la Mwanaisha Kiboye. Ungana na Global TV Online kupata timbwili…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
CHID BENZ AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AIRPORT
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz'. MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz' amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya heroine na bangi akiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. Akizungumza Kamanda wa Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP, Alfred Nzowa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa msanii...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ga2iaGVWnSHHhOugtisG7qsNl*fNuR3U7u495ljGfbSUaVK3WiUqMUS-qx2udh-CDQUH6*Vj3lMQB4Z0ZtZsOHxEA4y7*yVY/erick.jpg)
CHID BENZ SUALA LA MADAWA YA KULEVYA NI AIBU KWAKO!
KWAKO rapa uliyeibeba Ilala kwa sauti yenye mamlaka tangu miaka hiyo hadi leo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’.Bila shaka uko poa japo najua kwa sasa upo kwenye mikono ya sheria baada ya kudakwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere hivi karibuni ukidaiwa kukutwa na kete 14 za madawa ya kulevya. Nimekukumbuka leo kwenye safu hii ya Barua Nzito maana naona jinsi dhahabu inavyopotea kwenye mchanga huku maelfu ya...
10 years ago
GPLCHID BENZ: ATOZWA FAINI, AAHIDI KUACHA MADAWA YA KULEVYA
Chid Benz (mwenye shati jeupe) baada ya kuachiwa na mahakama. …Akiondoka mahakamani.
…Akielekea kwenye gari…
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Chid Benz akiri kukutwa na madawa ya kulevya mahakamani,asubiri hukumu
Chid Benz alikiri hivyo juzi Jumatano mbele ya Hakimu Mkazi, Waliarwande Lema baada ya kuomba asomewe tena mashtaka yake. Aliomba hivyo muda mfupi baada ya kesi yake kutajwa mahakamani hapo na Wakili wa Serikali, Diana Lukendo aliyesema upelelezi haujakamilika...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania