Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAKATA LA DK. SLAA KUTAKA KUUAWA LAZIDI KUPAMBA MOTO

Na Uwazi Mizengwe
Lile sakata linaloendelea kutingisha katika siasa za Tanzania, la aliyekuwa mlinzi wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Dk. Wilbroad Slaa aitwaye Khalid Kangezi, kudaiwa kushirikiana na baadhi ya wanachama wa CCM, akiwemo makamu mwenyekiti wake (Bara), Philip Mangula na maafisa wa usalama wa taifa (TISS) kupanga njama za kumuua kiongozi huyo, linazidi kuchukua sura mpya. Katibu Mkuu wa Chama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHINDANO LA DANCE 100% LAZIDI KUPAMBA MOTO CHINI YA VODACOM TANZANI

 Wasanii wa Kundi la Quality Boys kutoka Temeke jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi  wakati wa usaili wa tatu wa shindano la Dance 100% 2015 uliofanyika kwenye viwanja vya Leaders  Clup Kinondoni  jijini  Dar es Salaam.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na   kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. aadhi mashabiki waliojitokeza kwenye viwanja vya Leaders Club  jijini Dar es Salaam, wakifuatilia usaili wa tatu  wa shindano la  Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV...

 

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA KUTOA ELIMU KWA MADEREVA NA ABIRIA LAZIDI KUPAMBA MOTO CHINI YA VODACOM TANZANIA

  Maofisa wa Jeshi la polisi kitengo cha Usalama barabarani pamoja na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu(wapili toka kushoto)wakimshuhudia dereva Frank Masawe wa basi lenye Namba za usajili T 798 DCT linalofanya safari za mikoa ya Dar es Salaam na Mtwara akisoma karatasi yenye majibu baada ya kupimwa kilevi,wakati wa zoezi lilioendeshwa na Jeshi la polisi kitengo hicho kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kupitia kampeni ya”Wait to send”inayotoa elimu kwa madereva kutokutumia...

 

10 years ago

GPL

DK SLAA APELEKA MALALAMIKO YA KUTAKA KUUAWA NA MLINZI WAKE MAKAO MAKUU YA POLISI DAR

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa (pichani kushoto) muda huu ametoka katika ofisi za Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam alipokwenda kupeleka malalamiko yake ya kutaka kuuawa na mlinzi wake aitwaye Khalid Kangezi. Dk. Slaa amekabidhi malalamiko yake hayo kwa maandishi ambapo zaidi ya kurasa tisa amezikabidhi kituoni hapo. Akiongea na wanahabari, Dk. Slaa amesema kuwa hajaitwa...

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA JARIBIO LA KUUAWA, DR. SLAA ATINGA KITUO CHA POLISI

Akihojiwa na Wanahabari.     ..Slaa (kulia), akitoka katika lango kuu la kituo cha Polisi akiwa na viongozi wengine wa chama hicho.…

 

11 years ago

Mwananchi

Sakata IPTL lazidi kuwavuruga wabunge

>Sakata la fedha za IPTL limechukua sura mpya baada ya baadhi ya wabunge kudai kurubuniwa na wenzao kwa fedha ili wakwamishe Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, wakidai balozi mmoja yuko nyuma ya mpango huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Sakata la kampeni za kuwania urais 2015 lazidi kuibua mapya CCM

Siku nne baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye kueleza kuwa amekata rufaa Kamati Kuu (CCM) kupinga adhabu ya onyo aliyopewa kwa kuanza mapema kampeni za urais, wenzake watano waliokumbwa pia na adhabu hiyo wamesita kufanya hivyo

 

11 years ago

GPL

SAKATA LA CHID BENZ KUTAKA KUMUUA DEMU

Msanii wa Hip Hop anayetokea Ilala, Rashid Makwiro 'Chid Benz' anadaiwa kumpa kipigo kizito mpenzi wake wa zamani aliyefahamika kwa jina la Mwanaisha Kiboye. Ungana na Global TV Online kupata timbwili…

 

10 years ago

Mtanzania

Marando: Dk. Slaa anusurika kuuawa

Dk.slaaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amenusurika kuuawa na mlinzi wake.
Hilo limebainika baada ya kitengo cha ulinzi cha chama hicho kutibua mpango unaodaiwa kuratibiwa na maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TIS), wa kumuua kiongozi huyo kwa kumtumia mlinzi wake binafsi (PSU), Khalidi Kagenzi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mabere Marando, alisema...

 

10 years ago

Mtanzania

Sakatala kuuawa Dk. Slaa lageuka

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeanza kumchunguza Josephine Mushumbusi, ambaye ni mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, anayetuhumiwa kula njama za kumuangamiza.
Uchunguzi dhidi ya Mushumbusi ulitangazwa jana na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyia ofisini kwake, Dar es Salaam.
Kamishna Kova alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani