DK SLAA APELEKA MALALAMIKO YA KUTAKA KUUAWA NA MLINZI WAKE MAKAO MAKUU YA POLISI DAR
![](http://api.ning.com:80/files/YIi6je0KpJMTL*k*SB3ZmOvM0jrIJ-gohRRCeX10WwpLzPNWtBpnil0bsfqOHHuh75pvPioHWE0K8egII6zt85OieMdVbhHM/DK.SLAA.jpg)
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa (pichani kushoto) muda huu ametoka katika ofisi za Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam alipokwenda kupeleka malalamiko yake ya kutaka kuuawa na mlinzi wake aitwaye Khalid Kangezi. Dk. Slaa amekabidhi malalamiko yake hayo kwa maandishi ambapo zaidi ya kurasa tisa amezikabidhi kituoni hapo. Akiongea na wanahabari, Dk. Slaa amesema kuwa hajaitwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziPOLISI WAMUHOJI DK. SLAA KWA SAA SITA KUHUSIANA NA TUHUMA ZA KUTAKA KUWEKEWA SUMU NA MLINZI WAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qmsUgHzH5lNixQXwuMpmprKLRPeeSd6SRMMwu*ljZ8bvziKb6IZ84-AViOz*RdDktfHsj*Z0EJOSmb21wkj2OgtpqKC--zxz/slaa.jpg?width=650)
MLINZI WA SLAA AKANUSHA KUTAKA KUMUUA BOSI WAKE
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Jengo la Polisi Makao Makuu Dar, Lanusurika Kuwaka Moto
Jengo la Ghorofa ya 4 la Jeshi la Polisi Makao Makuu jijini Dar es Salaam leo limenusurika kuwaka moto baada ya kutokea cheche za umeme ndani ya jengo hilo na kusababisha taharuki kabla ya Kikosi cha Zimamoto kufanikiwa kuudhiti.
Kwa Taarifa zaidi endelea kufuatilia taarifa zetu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YIi6je0KpJPOUfG7cA5oUsRubqyZaVb1ZtMRhGiN5r4bedkltnTO4kplJm2AGI1CC7kQZZdB5rKrvbMUOiQktiwnUc3-XCm8/BACKMIZENGWE.jpg)
SAKATA LA DK. SLAA KUTAKA KUUAWA LAZIDI KUPAMBA MOTO
10 years ago
CloudsFM26 Nov
10 years ago
Mtanzania11 Mar
Mlinzi wa Dk. Slaa aendelea kusota polisi
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
KHALID Kangezi, mlinzi binafsi (PSU) wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa, anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kuhusu tuhuma dhidi yake.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Kinondoni, Camillus Wambura alisema uchunguzi unaendelea dhidi ya Kagenzi ambaye alifikishwa katika Kituo cha Polisi Osterbay juzi.
“Suala hili nilitakiwa kulitolea taarifa kwa Kamanda wa Polisi...
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Mlinzi wa Dk. Slaa aendelea kuhojiwa Polisi
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, linaendelea kumuhoji Khalid Kagenzi ambaye ni mlinzi binafsi (PSU) wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa anayetuhumiwa kwa kosa la kutaka kumuua.
Akizungumza na MTANZANIA, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camillus Wambura, alisema wanaendelea na uchunguzi juu ya tuhuma hizo.
Alisema pamoja na uchunguzi huo kuendelea, lakini Kamanda wa Polisi Kanda...
10 years ago
GPLMBOWE ATINGA MAKAO MAKUU YA POLISI KUHOJIWA
10 years ago
Habarileo31 Mar
Polisi waelezwa Slaa alivyotaka kuuawa
MCHUMBA wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa, Josephine Mushumbusi jana ametoa maelezo yake katika Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam kuhusu tuhuma za kutaka kuuawa kwa katibu huyo.