Mlinzi wa Dk. Slaa aendelea kuhojiwa Polisi
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, linaendelea kumuhoji Khalid Kagenzi ambaye ni mlinzi binafsi (PSU) wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa anayetuhumiwa kwa kosa la kutaka kumuua.
Akizungumza na MTANZANIA, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camillus Wambura, alisema wanaendelea na uchunguzi juu ya tuhuma hizo.
Alisema pamoja na uchunguzi huo kuendelea, lakini Kamanda wa Polisi Kanda...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania11 Mar
Mlinzi wa Dk. Slaa aendelea kusota polisi
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
KHALID Kangezi, mlinzi binafsi (PSU) wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa, anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kuhusu tuhuma dhidi yake.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Kinondoni, Camillus Wambura alisema uchunguzi unaendelea dhidi ya Kagenzi ambaye alifikishwa katika Kituo cha Polisi Osterbay juzi.
“Suala hili nilitakiwa kulitolea taarifa kwa Kamanda wa Polisi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YIi6je0KpJMTL*k*SB3ZmOvM0jrIJ-gohRRCeX10WwpLzPNWtBpnil0bsfqOHHuh75pvPioHWE0K8egII6zt85OieMdVbhHM/DK.SLAA.jpg)
DK SLAA APELEKA MALALAMIKO YA KUTAKA KUUAWA NA MLINZI WAKE MAKAO MAKUU YA POLISI DAR
10 years ago
MichuziPOLISI WAMUHOJI DK. SLAA KWA SAA SITA KUHUSIANA NA TUHUMA ZA KUTAKA KUWEKEWA SUMU NA MLINZI WAKE
10 years ago
Mtanzania12 Mar
Mlinzi wa Dk. Slaa atoboa siri
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
TUHUMA za mauaji ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, zimeendelea kutikisa pembe za nchi huku mlinzi wake binafsi, Khalid Kagenzi, akitoboa siri za mkasa huo.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mabere Marando, kudai mlinzi huyo alikuwa akitumiwa na vyombo vya usalama kwa lengo la kumuua Dk. Slaa.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kagenzi alisema...
10 years ago
VijimamboMLINZI WA DK SLAA ALIPUKA.AMWAGA UGALI,AFICHUA MADUDU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qmsUgHzH5lNixQXwuMpmprKLRPeeSd6SRMMwu*ljZ8bvziKb6IZ84-AViOz*RdDktfHsj*Z0EJOSmb21wkj2OgtpqKC--zxz/slaa.jpg?width=650)
MLINZI WA SLAA AKANUSHA KUTAKA KUMUUA BOSI WAKE
10 years ago
GPLMLINZI AKANUSHA KUMUUA SLAA, ADAI ALILAZIMISHWA KUKIRI
10 years ago
GPLMBOWE ATINGA MAKAO MAKUU YA POLISI KUHOJIWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ARLRee19CK43E2POR*mFcVgVFaXn0O*IJwX3TJj3AoIZAoCiDTBAfjrAwRn1PltjAtlQJQRor-pXI1XbNGpzZ2v7z3pRhgDS/DIAMOND.jpg?width=650)
ALI KIBA KUTISHIWA KUUAWA, DIAMOND KUHOJIWA POLISI