Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MLINZI WA SLAA AKANUSHA KUTAKA KUMUUA BOSI WAKE

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willbroad Slaa. KHALID Hamada Kangezi aliyekuwa mlinzi wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willbroad Slaa, amekanusha taarifa iliyotolewa na viongozi wa chama hicho kwamba alitaka kumdhuru kiongozi huyo na akasisitiza yeye ndiye aliyenusurika kifo baada ya kufungiwa chumbani kwa zaidi ya saa sita na viongozi wa chama hicho wakiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MLINZI AKANUSHA KUMUUA SLAA, ADAI ALILAZIMISHWA KUKIRI

Khalid Kangezi akitoa ufafanuzi mbele ya wanahabri (hawapo pichani). …Akiwa na mwanaye Adam Kangezi (kushoto).…

 

10 years ago

GPL

DK SLAA APELEKA MALALAMIKO YA KUTAKA KUUAWA NA MLINZI WAKE MAKAO MAKUU YA POLISI DAR

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa (pichani kushoto) muda huu ametoka katika ofisi za Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam alipokwenda kupeleka malalamiko yake ya kutaka kuuawa na mlinzi wake aitwaye Khalid Kangezi. Dk. Slaa amekabidhi malalamiko yake hayo kwa maandishi ambapo zaidi ya kurasa tisa amezikabidhi kituoni hapo. Akiongea na wanahabari, Dk. Slaa amesema kuwa hajaitwa...

 

10 years ago

Michuzi

POLISI WAMUHOJI DK. SLAA KWA SAA SITA KUHUSIANA NA TUHUMA ZA KUTAKA KUWEKEWA SUMU NA MLINZI WAKE

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa (kulia) akitoka Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam leo huku akiambatana na wanasheria wake, John Mallya (kushoto) na Nyaronyo Kicheere ambapo aliandika maelezo na kuhojiwa na Polisi kwa saa sita kuhusiana na tuhuma za kutaka kuuwawa na mlinzi wake, Khalid Kagenzi. (Picha na Francis Dande)
  Dk. Willibroad Slaa akiizungumza na waandishi wa habari baada ya kutoa maeleza na kuhojiwa na Jeshi la Polisi Kituo...

 

11 years ago

Habarileo

Atuhumiwa kutaka kumuua trafiki

MKAZI wa Kijitonyama,jijini Dar es Salaam Cresence Nguzo (25) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kujaribu kumuua askari wa kikosi cha usalama barabarani.

 

9 years ago

Habarileo

Kortini kwa kutaka kumuua Lubuva

WATU wawili wakiwemo Mwanasheria na Mwalimu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kula njama za kumuua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva na familia yake.

 

11 years ago

GPL

SAKATA LA CHID BENZ KUTAKA KUMUUA DEMU

Msanii wa Hip Hop anayetokea Ilala, Rashid Makwiro 'Chid Benz' anadaiwa kumpa kipigo kizito mpenzi wake wa zamani aliyefahamika kwa jina la Mwanaisha Kiboye. Ungana na Global TV Online kupata timbwili…

 

10 years ago

Habarileo

Diallo akanusha kutaka kuihama CCM

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza, Dk Antony Diallo amekanusha uvumi ulioenea katika maeneo mbalimbali kuwa ana mpango wa kukihama chama hicho.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rwasa alaumu serikali kwa kutaka kumuua mkewe

Kiongozi wa upinzani Agathon Rwasa amezilaumu idara za usalama nchini humo kwa kuhusika na jaribio la kutaka kumuuwa mkewe.

 

10 years ago

Mtanzania

Mlinzi wa Dk. Slaa atoboa siri

NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
TUHUMA za mauaji ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, zimeendelea kutikisa pembe za nchi huku mlinzi wake binafsi, Khalid Kagenzi, akitoboa siri za mkasa huo.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mabere Marando, kudai mlinzi huyo alikuwa akitumiwa na vyombo vya usalama kwa lengo la kumuua Dk. Slaa.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kagenzi alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani