Diallo akanusha kutaka kuihama CCM
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza, Dk Antony Diallo amekanusha uvumi ulioenea katika maeneo mbalimbali kuwa ana mpango wa kukihama chama hicho.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MLINZI WA SLAA AKANUSHA KUTAKA KUMUUA BOSI WAKE
10 years ago
Habarileo11 Aug
Bilal apuuza uvumi wa kuihama CCM
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amekanusha taarifa za uzushi ziliposambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa anakihama Chama Cha Mapinduzi (CCM).
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
Zitto aungana na CCM kutaka kura ya wazi
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), ameunga mkono msimamo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kuwataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupiga kura ya wazi katika kufanya uamuzi....
11 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Makubaliano ya UKAWA lazima yawe zaidi kutaka kuing’oa CCM
MOJAWAPO ya mambo ambayo baadhi yetu hatukuyachangamkia sana ni Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ambao ulikuja kama mwamko (movement) ya kupinga kile ambacho wajumbe wake waliona ni utekaji wa...
10 years ago
Dewji Blog18 Aug
Simai Mohamed Said akanusha kwamba amehama CCM
Pichani ni Ndugu Simai Mohammed Said katika moja ya mikutano yake ya Kichama kama alivyoweka kupitia ukurasa wake wa facebook mapema jana baada ya taarifa za uzushi dhidi yake zilizokuwa zikitolewa na watu wasiomtakia mema.
Kada wa Chama cha Mapinduzi Visiwani Zanzibar, Simai Mohammed Said, ambaye anatarajia kugombea nafasi ya Uwakili wa jimbo la Tunguu amekanusha vikali taarifa zilizokuwa zinasambazwa kuwa amekihama chama hicho.
Kupitia ukurasa wake huo, Simai aliweka sawa na kuwataka...
10 years ago
TheCitizen21 Aug
Life, LOVE, music and healing with Diallo
10 years ago
BBCSwahili23 May
Xavi kuihama Barcelona
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
De Gea kuihama Manchester United?
10 years ago
BBCSwahili16 Nov
Podolski ataka kuihama Arsenal