Polisi waelezwa Slaa alivyotaka kuuawa
MCHUMBA wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa, Josephine Mushumbusi jana ametoa maelezo yake katika Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam kuhusu tuhuma za kutaka kuuawa kwa katibu huyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSAKATA LA JARIBIO LA KUUAWA, DR. SLAA ATINGA KITUO CHA POLISI
10 years ago
GPLDK SLAA APELEKA MALALAMIKO YA KUTAKA KUUAWA NA MLINZI WAKE MAKAO MAKUU YA POLISI DAR
10 years ago
Mtanzania09 Mar
Marando: Dk. Slaa anusurika kuuawa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amenusurika kuuawa na mlinzi wake.
Hilo limebainika baada ya kitengo cha ulinzi cha chama hicho kutibua mpango unaodaiwa kuratibiwa na maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TIS), wa kumuua kiongozi huyo kwa kumtumia mlinzi wake binafsi (PSU), Khalidi Kagenzi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mabere Marando, alisema...
10 years ago
Mtanzania14 Mar
Sakatala kuuawa Dk. Slaa lageuka
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeanza kumchunguza Josephine Mushumbusi, ambaye ni mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, anayetuhumiwa kula njama za kumuangamiza.
Uchunguzi dhidi ya Mushumbusi ulitangazwa jana na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyia ofisini kwake, Dar es Salaam.
Kamishna Kova alisema...
10 years ago
GPLSAKATA LA DK. SLAA KUTAKA KUUAWA LAZIDI KUPAMBA MOTO
10 years ago
GPLKAMANDA WA POLISI MORO AKANUSHA WATU WATATU KUUAWA
11 years ago
GPLALI KIBA KUTISHIWA KUUAWA, DIAMOND KUHOJIWA POLISI
5 years ago
MichuziPOLISI SINGIDA YAWATAKA WANANCHI KUPUUZA TAARIFA ZA WATU 14 KUUAWA WILAYANI MANYONI