Sakata la SIKIKA latua mezani kwa Ghasia
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia
Na Khamis Mkotya, Dar es Salaam
SAKATA la kufungiwa kwa Shirika la SIKIKA wilayani Kondoa limechukua sura mpya baada ya shirika hilo kumwandikia barua Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia.
Barua hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Irenei Kiria, ilipelekwa ofisini kwa Ghasia Jumatano zikiwa zimepita wiki mbili tangu shirika hilo kufungiwa wilayani...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Sakata la kulinda kura latua Mahakama Kuu
10 years ago
Bongo Movies26 Jun
Sakata la Faiza Ally Kunyang’anywa Mtoto Latua Bungeni
Siku chache zimepita tangu hukumu ya kesi ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kutolewa dhidi ya mzazi mwenzake Faiza Ally,baada ya kuiomba mahakama kumchukua mtoto wao, hali iiyopelekea mahakama kutoa hukumu kuwa mtoto achukuliwe na Mbunge huyo, jambo lililofanya sakata hilo kutinga bungeni.
Baadhi ya wabunge na wadau mbalimbali wamedai kuwa mtoto bado ni mdogo sana kuweza kuishi na baba yake na kutoa maoni kuwa mtoto arudishwe kwa mama yake kwa kuwa kila mtu ana mapungufu na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3erL*sNa94sB2Vrg9mpceuJFuLho-pdidmfnMoKsW2FeY2T1fM1L5H-4zMsif504fKNADk41d9Dhty7mPyfrMIz/33.jpg?width=650)
Simba wakaa mezani na Pluijm kwa saa sita
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Simba waanza kulegeza kamba, kazi kwa Mo kuweka mzigo mezani
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Lile dili la mfanyabiashara mkubwa nchini, Mohamed Dewji kununua hisa katika klabu ya Simba SC linaonekana kuiva baada ya makamu wa rais wa Simba kuzungumzia dili hilo kuwa ni jambo nzuri la linafaida katika soka la sasa.
Akizungumza katika kipindi cha E Sport kinachorushwa na E Fm,...
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Rungu la Magufuli latua kwa Bakhresa
*TRA yazuia makontena yake bandari kavu
*Polisi yasema uchunguzi mzito unaendelea
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imezuia kampuni ya Said Salim Bakhresa & Co. Limited kupeleka makontena yake katika Bandari yake Kavu (ICD), baada ya kugundulika kuwa baadhi ya makontena yalipitishwa bila kulipiwa kodi.
Kwa mujibu wa barua ya TRA ya Novemba 17, mwaka huu, iliyosainiwa na Wolfagang Salia kwa niaba ya Kamishina wa Forodha na Ushuru wa Bidhaa, kampuni hiyo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Gp85O2XzVxh4YmRJvkESEibCNHVDwCLkenwi51dMRojXB0KmyHlqIvsvkEu8aEwnyMIWW2zfkd4AJLenSl9CW9YZ0EBR7J*L/mawaziri.jpg?width=650)
BARAZA LA MAWAZIRI; JIWE LATUA KWA WASIOTEGEMEA
10 years ago
Dewji Blog02 Jan
Zoezi la kupima ulevi kwa madereva wa mabasi, latua Singida mjini
Mrakibu msaidizi wa polisi (ACP) mkuu wa kitengo cha elimu kwa umma makao makuu ya usalama barabarani jijini Dar-es-salaam, Abel Swai, akiwahamasisha abiria wa basi la kampuni ya France line lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Arusha mjini kutoa taarifa kwa jeshi la polisi endapo watagundua dereva mlevi,kucheleweshwa au gari ni mbovu,ili hatua za haraka ziweze kuchukuliwa.
Na Nathaniel Limu, Singida
MRAKIBU msaidizi wa polisi makao makuu kitengo cha elimu kwa umma usalama barabarani...
10 years ago
MichuziZoezi la kupima ulevi na kutokutumia simu kwa madereva wa mabasi,latua Singida
10 years ago
GPLZOEZI LA KUPIMA ULEVI NA KUTOKUTUMIA SIMU KWA MADEREVA WA MABASI, LATUA SINGIDA